Demu huyu anapenda kupiga mwiba!

Ambassador

JF-Expert Member
Jun 2, 2008
933
75
Nimetokea kumpenda binti mmoja mrembo sana. Tatizo lake anapenda sana kunipiga pini (kuniomba pesa) kiasi kwamba ninapopanga kukutana nae analazimisha nimpelekee heala au kitu na kama sikupeleka ananinunia. Juzi kaja na bonge la request anataka mtaji afungue biashara! Nashindwa kumuelewa vema huyu mwenzangu maana wote tumeajiriwa lakini yeye anataka kula vyangu tu! Nishaurini wadau, mimi sioni future na demu wa hivi!
 
ah? hebu twambie una mpango gani naye...any future plans? kama iko basi anza investments mapema kama hapana mwache huyo anataka ATM.
 
Mkuu kuna mtu hapo mwenye mali wewe ni other alternative zile shida ambazo huyo jamaa yake ama anaogopa kumwambia au hawezi kuzi meet basi wewe ndo unaletewa hizo bills, ushauri kimbia mapema maana ukijikita zaidi hapo baba utafilisika, mwenzio kakufanya wewe kitega UCHUMI
 
ah? hebu twambie una mpango gani naye...any future plans? kama iko basi anza investments mapema kama hapana mwache huyo anataka ATM.

Kikukweli nimemzimia na mategemeo yangu relationship yetu ingekuwa ya muda mrefu kama sio ya kudumu (marriage).
 
Mkalishe chini umwambie worries zako akikuelewa she is and was ment to be yours akichomoa kiaina she was after money and wasnt meant to be yours!!
 
Nimetokea kumpenda binti mmoja mrembo sana. Tatizo lake anapenda sana kunipiga pini (kuniomba pesa) kiasi kwamba ninapopanga kukutana nae analazimisha nimpelekee heala au kitu na kama sikupeleka ananinunia. Juzi kaja na bonge la request anataka mtaji afungue biashara! Nashindwa kumuelewa vema huyu mwenzangu maana wote tumeajiriwa lakini yeye anataka kula vyangu tu! Nishaurini wadau, mimi sioni future na demu wa hivi!

We mbona unakula vyake?? Chake chake, chako chake!!
 
huyo mdada kimeo kama simu ya mchina ..muulize kama anatafuta mtaji duuu ili umpatie
mbona kuna watu hawana aibu jamani ?? labda na wewe ulijitambulisha kama billgates
tutajuaje ?
 
Mimi sio mkabila ila naomba kuuliza kabla sijachangia huyo mwanamke ni kabila gani???
 
tena sana,,eti bado anataka kumalizia chenji. sijui kanywesha nini na mdada! Limbwata!

Inaonekana alitoa Infomercials nyingi wakati wa kutongoza, sasa kaanza kusikia maumivu.... in the meantime anataka ku-maintain status kwa demu
 
We mbona unakula vyake?? Chake chake, chako chake!!

Aah bwana! Chake nimekula nini jamani? Kama uroda kila mtu anastarehe, ikija pesa na vitu vingine mbona menzangu hachangamki? Kwanza bao ninazompiga mwenyewe amenikubali, anasema alikuwa hajawahi kuona! Sijui ndo ananidanganya anichune vizuri?
 
Mh, sound hizo ili uzame deep in your pockets!! Haya baba, umeshasema unamalizia chenji...
 
Aah bwana! Chake nimekula nini jamani? Kama uroda kila mtu anastarehe, ikija pesa na vitu vingine mbona menzangu hachangamki? Kwanza bao ninazompiga mwenyewe amenikubali, anasema alikuwa hajawahi kuona! Sijui ndo ananidanganya anichune vizuri?

ahahahahhahah... hapo ndipo kakushikia...basi unalipia hizo bao!!! we bnawe pia hutaki kuzikosa... LOL
 
yeah, huyo yuko kibiashara zaidi mkuu!, watch out.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom