Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ee bwana hapa nilipo naroweka ukwaju. Hii ni kwa ajili ya kutengeza cocktail ya Konyagi kesho. Nikimaliza bwana kabla ya kulala nitapump maziwa ya baby ili kesho nikiwa katika harakati za...
3 Reactions
54 Replies
4K Views
Jamaa alifumaniwa akakimbilia kwenye daladala akiwa uchi, konda akawa anamshangaa,jamaa akamuliza konda unanishangaa nini? Konda;, Sishangai uchi wako najiuliza nauli umeweka wapi?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau wangu wa MMU habari zenu. Sina uhakika sana kama hii mada hapa ndipo mahali pake sahihi lakini nadhani sio vibaya tukisaidiana katika hili nalotaka kuliandika, na kimsingi naliandika kwa...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
I know una uwezo wa kifedha, u are good physically,I can not compete with u for that, na una kila sifa za kupendwa na mwanamke yeyote, na najua una uwezo wa kumchukua demu wangu hilo sipingi ...
6 Reactions
137 Replies
11K Views
jaman nmekua mpweke mnö kwa mda mref xo naitaji mwenza wang wa kubadilishana nae mawazo,awe na umri kuanzia 18-23,sichagui rang wala kabila ila awe anaish dar!
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Unajua ndani ya ndoa au mnapoishi mke na mume hamkosi kutofautiana, nimechunguza nimeona hivi vitu huwa vinapunguza sana machungu, mimi nikiuziwa huwa najivutia zangu SM naona ndizo...
0 Reactions
3 Replies
945 Views
Habar za Mchna Bandugu... Kma Smart phne zote huwa na in-built application kma Music Players. Bas Kuna baadhi ya Wanawake wana in-built Selfishness kiac kwamba wanajiharibia wenyewe bila Kujua...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Fanya hivi andika jina lolote la jinsia tofauti na yako kisha tulia atakae kupm ndie akupendae. kazi kwako
0 Reactions
46 Replies
6K Views
Tupime jamani,tulipima wengi sasa wakat nachukua majibu nilimuona nesi ananyanya majibu ana hakikisha kama ni yangu by comparing the codes,yaani kadi nyingi zimegongwa positive mmmmmmh jamani,
2 Reactions
38 Replies
6K Views
mimi naona kunahaja ya kuchukua tahadhari juu ya wataalamu wa dawa za jadi juu ya kuongeza nguvu za kiume pamoja na kuongeza kiungo husika , ninachokiona mimi ni kwamba mambo haya ya mapenzi...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Condom ikianikwa kipindi cha jua kali inaonesha funza wadogo wadogo wanatembea ktk condom hiyo. Karibuni sana wadau
1 Reactions
57 Replies
16K Views
Ni usiku, upo na mke wako mnarudi home unakutana na wahuni kama wanne wapo na mapanga na wewe hauna silaha yoyote ile halafu wana wanyang'anya simu pamoja na pesa then wanasema kaa pembeni ili...
0 Reactions
56 Replies
5K Views
Usiombe hili likukute ... acha kutembea na wake za watu.
7 Reactions
217 Replies
53K Views
Romance should be mandatory in every relationship. Most couples shy away from it because they've been tricked into believing one needs to have a large amount of money in order to be romantic...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
mimi ni kijana wa umri wa miaka 27 natafuta mchumba wa kike awe anaishi morogoro kama sio moro basi awe tayari kuja kuniona moro, awe anaumri chini ya miaka 27 namba ya simu 0656179600. kua...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
  • Closed
Naomba dada zetu mlioolewa na watu hawa mtusaidie. Zingatieni: Waislamu wanaruhusiwa kuoa wanawake hadi wanne.Imani yao imesema hivyo na ninaiheshimu. : Wakristo wanaruhusiwa kuwa na...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Mimi ni kijana 33 yrs now..katika kuishi kwangu nilibahatika kuoa na sijawahi pata mtoto...miaka minne ya ndoa yetu kuna kipindi.wife alipata ujauzito na ilipofikia siku ya kujifungua mtoto...
2 Reactions
83 Replies
9K Views
Yani unakuta mtu kanuna kabisa kisa maneno ya kuambiwa halafu maneno yenyewe unakuta hayana ukweli hata kidogo!! Wanaume wanapenda sana kusalitiwa,usipomsaliti atafanya juu chini mpaka umsaliti...
2 Reactions
57 Replies
6K Views
Jamani kuna baadhi ya kina dada wanapenda maisha ya kuigiza sana kutwa nzima anaangalia tamthilia na kuvutiwa sana na maisha ya kwenye tamthilia hasa zile romantic issues lakini ukimwambia fanya...
6 Reactions
66 Replies
9K Views
WAUNGWANA; Amani na upendo vitawale kwenu nyote. Natumai mu wazima na mnaendelea na shughuri za kila siku. Nisiwachoshe, naomba niseme kilicho nileta huku mbiox2. Kwa hapa Tz naamini kua bado...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom