JF Mwanza Wing mpo? Arusha Wing tunakuja kuwashikaaa...

Preta

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
24,323
18,793
Haiyaaa haiyaaaaa........wale wazee wa kula bata......mabilionea wa Chugga.........kama ilivyo kawaida yetu.......December ndio hiyo......
Sasa basi.........mwaka huu upepo unaelekea kanda ya ziwa......MWANZA......yes..........Sato na Nembe hamna bahati.........

Ni tarehe 27th December 2013.........kurudi tarehe 29th Dec 2013..........
Wewe mdau wa JF......unayeelewa maana ya kupumzika baada ya mizunguko ya mwaka mzima.........unga bogi......haijalishi unatokea wapi.........wewe tukutane Mwanza tule raha........

Nia na dhumuni ni kusocialize kama kawaida.........na kutembelea vivutio vya upande huo......bila kusahau kisiwa cha Saanane (si tumeamua kutalii bana).........

kama utashiriki........itikia hapa......hii ni introduction peke yake......itineray na kiasi kitakachohusika........nitawaletea rasmi baada ya kufanyika uchunguzi yakinifu...............

Wenu mtiifu.....
Preta.....
Bata Eaters Logistic Manager.........

CC.... PakaJimmy... Mzee wa Rula...... Filipo..... marejesho..... Blaki Womani....@cantalicia....... Smile...... Madame B...... watu8....... Mwanyasi..... Dark City....... Arushaone....... Lily Flower........ KOKUTONA...... Erickb52...... LiverpoolFC.... IGWE........

Well,
Kama Preta alivyotoa introduction hapo, ni kwamba jana 02.11.2013 tulikaa kama Kamati Ya Matumizi na kupanga hilo ishu.

Wana Chuga kawaida ni watu wa BIG RESULTS NOW, na huwa hatucheleweshi Upelelezi.

Kama kawa Intelijensia yetu imesoma kwamba MZA panalipa, kwahiyo wanabodi wakakubaliana kwamba tusababishe MAJANGA pande za Rock City!...kwani nini bana!!

Haya wana Mwanza, andaeni Mapanki ya kutosha...Mabillionea wa Mererani a.k.a 'Manyoka' a.k.a Machalii wa Manta wanazuka mtaani kwenu.

Kawekamo mpooo?


Yaliyojiri......
Safari imepamba moto kweli kweli.......kwa yeyote atakayependa kuungana na sisi kutokea A-Town.......basi awasiliane na mimi au PakaJimmy ili kuweza kufahamu utaratibu uliopo......mengine yanabaki kama yalivyopangwa..........

Itinerary......
27/12.......Kufika Mwanza jioni........dinner and dance.......

28/12.......09:00 kufika kisiwa cha Saanane, half day gamedrive,
baada ya hapo kurudi mjini kwa chakula
cha mchana, town tour kidogo then beach hotel kwa mapumziko na
kubadilishana mawazo na wenzetu wa Mwanza watakaojumuika nasi
Jioni Dinner and kula bata ile mbaya

29/12.......Kuiaga Mwanza na kurudi makwetu


 
Karibuni sana Rock City Wing..... Tupo tumejaa tele kama pishi la ubwabwa!!!

Ngoja niwaite wadau naona wanamalizia weekend...

Wapi Elizabeth Dominic, ThinkPad, kandukamo1, Home First, ram na wengine woooote walioko Rock City.....

Wageni haaaaoooooo..... Villa Park, Fusion, Malaika, Skylight, Lavenna zitahusika saaaaanaaaa.....

2v9t2bn.jpg
 
Last edited by a moderator:
Mimi mtanikuta...nina long vacation ya kuvumbua mambo mbali mbali huko usukumani....

Ila kuna neno umelitaja Preta na mimi silielewi ...

Umesema mtakula sato na nini vile??

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Tha tha thi thi tuthio mabilionea itakuaje au teendelee kuthugua gaga hadi tuwe mabilionea:confused:
 
Back
Top Bottom