Jamani nakereka,..

Jamani nakereka,..

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,888
Reaction score
29,686
Habari zenu wana-MMU,.

Jamani leo nipo upande wa wanaume wenzangu,..

Kuna katabia ambacho nimekaona kwa baadhi ya vijana/wanaume,.

Unamkuta jamaa kavaa nguo za ndani zaidi ya moja, yaani unamkuta mwanaume amevaa suruali alafu ndani kavalia boxer mbili mpaka tatu alafu na chupi,..


Hii hali ni ya kawaida kuiona kwa akina dada/mama kwa sababu maalum ambazo zinaeleweka wazi hasa wakati wanapoingia katika siku zao za hedhi,.

Lakini kwa wanaume napata walakini kidogo,.


Kulikoni kuvalia hivi wanaume wenzangu??...
 
Ndo nasikia leo..........

hata wanawake takiwa Hedhi hatuvai nguo zote hizo ndani usitusingizie bana

Kweli asitusingizie,nani anataka kuungua na joto?
Ila nimepata mashaka,hizo nguo ziko ndani yeye amezionaje?
 
Afadhali umesema weye mwanaume mwenzao, mje sasa mtoe majibu ya uvaaji huu kulikoni??
 
Ennie, ukikata kuona style za mavazi ya namna hii hebu angalia tu uvaaji wa vijana kwenye fiesta. Hata kipindi hiki utawaona sana si wako likizo. Mwingine nimemshuhudia mweyewe jana kwenye daladala ya tbt. Kinachofanya mpaka tuone boxer zao ni uvaaji wa vimodo.
 
Kweli asitusingizie,nani anataka kuungua na joto?
Ila nimepata mashaka,hizo nguo ziko ndani yeye amezionaje?

hahaha watu ufukunyuku wewe........

ile kitu ikafutwa fasta.....kaka angu OLESAIDIMU sikumuona tenaa
 
Last edited by a moderator:
Habari zenu wana-MMU,.

Jamani leo nipo upande wa wanaume wenzangu,..

Kuna katabia ambacho nimekaona kwa baadhi ya vijana/wanaume,.

Unamkuta jamaa kavaa nguo za ndani zaidi ya moja, yaani unamkuta mwanaume amevaa suruali alafu ndani kavalia boxer mbili mpaka tatu alafu na chupi,..


Hii hali ni ya kawaida kuiona kwa akina dada/mama kwa sababu maalum ambazo zinaeleweka wazi hasa wakati wanapoingia katika siku zao za hedhi,.

Lakini kwa wanaume napata walakini kidogo,.


Kulikoni kuvalia hivi wanaume wenzangu??...
Asante. HEBU SOMA HAPA ZAIDI.
 
...Unamkuta jamaa kavaa nguo za ndani zaidi ya moja, yaani unamkuta mwanaume amevaa suruali alafu ndani kavalia boxer mbili mpaka tatu alafu na chupi,.....
Kuvaa chupi moja, boxer moja na suruali moja inakubalika? Kwa nini?
 
Teh teh teh...yani uvae chupi na boksa tena?
 
Habari zenu wana-MMU,.

Jamani leo nipo upande wa wanaume wenzangu,..

Kuna katabia ambacho nimekaona kwa baadhi ya vijana/wanaume,.

Unamkuta jamaa kavaa nguo za ndani zaidi ya moja, yaani unamkuta mwanaume amevaa suruali alafu ndani kavalia boxer mbili mpaka tatu alafu na chupi,..


Hii hali ni ya kawaida kuiona kwa akina dada/mama kwa sababu maalum ambazo zinaeleweka wazi hasa wakati wanapoingia katika siku zao za hedhi,.

Lakini kwa wanaume napata walakini kidogo,.


Kulikoni kuvalia hivi wanaume wenzangu??...

Tena ina boha kweli hasa huku uswazi unakuta mtu kazi shindilia utafikiri anaenda jangwani na nichafu ile mbaya....%
 
We mtoa mada kuna jamaa alileta uzi hapa et wanaume nao huingia period! Inawezekana hao wanaume unaowaona wamevaa chupi nne nne wapo kwenye siku zao! POINT OF CORRECTION-wanawake hata wawe period hawavai nguo nyingi! Sawa mkuu?
 
Habari zenu wana-MMU,.

Jamani leo nipo upande wa wanaume wenzangu,..

Kuna katabia ambacho nimekaona kwa baadhi ya vijana/wanaume,.

Unamkuta jamaa kavaa nguo za ndani zaidi ya moja, yaani unamkuta mwanaume amevaa suruali alafu ndani kavalia boxer mbili mpaka tatu alafu na chupi,..


Hii hali ni ya kawaida kuiona kwa akina dada/mama kwa sababu maalum ambazo zinaeleweka wazi hasa wakati wanapoingia katika siku zao za hedhi,.

Lakini kwa wanaume napata walakini kidogo,.


Kulikoni kuvalia hivi wanaume wenzangu??...

Hao watakuwa wamezoea kujaradia tangu wakiwa Primary (mazoea hujenga tabia)
 
We mtoa mada kuna jamaa alileta uzi hapa et wanaume nao huingia period! Inawezekana hao wanaume unaowaona wamevaa chupi nne nne wapo kwenye siku zao! POINT OF CORRECTION-wanawake hata wawe period hawavai nguo nyingi! Sawa mkuu?

there is no point of correction,.

Evrything is clearly understood!! And That's is it,.
 
Habari zenu wana-MMU,.

Jamani leo nipo upande wa wanaume wenzangu,..

Kuna katabia ambacho nimekaona kwa baadhi ya vijana/wanaume,.

Unamkuta jamaa kavaa nguo za ndani zaidi ya moja, yaani unamkuta mwanaume amevaa suruali alafu ndani kavalia boxer mbili mpaka tatu alafu na chupi,..


Hii hali ni ya kawaida kuiona kwa akina dada/mama kwa sababu maalum ambazo zinaeleweka wazi hasa wakati wanapoingia katika siku zao za hedhi,.

Lakini kwa wanaume napata walakini kidogo,.


Kulikoni kuvalia hivi wanaume wenzangu??...
sagging-pants-level-black_large.jpeg
 
Back
Top Bottom