Imenibidi nije na UZI huu kutokana na saikolojia ya wanawake wengi pindi watongozwapo na wanaume na kuanza uhusiano nao,wengi hudhani kuwa sasa ni mwanzo wa maisha yao kubadilika kiuchumi,mwanzo...
Habari wana Jamvi,nina mpenzi ambaye tu wapenzi kwa muda sasa na tunatarajia kuoana soon,sasa nina rafiki yangu wa karibu tu ambaye pia tumeanzisha biashara pamoja .Sasa huyu rafiki yangu...
Polen wana jamvi!Kwa kweli nimekua mpitiaji mzuri sana wa thread mbali mbali za jukwaa hili na kusoma baadhi ya komenti,kumekua na tatizo la kutambua jinsia za wenzetu kutokana na majina yetu...
Women are always ready to accept and enjoy mens favorite sex positions but women seldom ask for their favourite position(s). The time has come for men to understand what women really want in bed...
^^
Classmate wangu huyu tulipotezana nilipohama shule nikiwa kidato cha pili.Tangu wakati huo sikupata mawasiliano yake ikizingatiwa kuwa wakati ule hata hizo simu hatukujua kama zipo.Lakini...
Maisha ni wewe mwenyewe unavyo taka yawe. Ukitaka kuishi ktk shida utaishi hivyo, Pia Ukitaka uziepuke shida zisizo na msingi pia inawezekana chaguo ni lako. Kwamuda mrefu nimevumilia mateso...
Jamani wanaume wa sikuhiz yani ukimpa tu Tunda Amekukimbia Yani Shida tupu,, HII NDO MISEMO YAO dada zetu Ila hata siwakatalii wako sawa tu Ila dada zng angalieni na upande wa pili wa shling Muda...
Waandugu hivi unamchukiliaje msichana wako pale anapowaita marafiki zake wakiume majina kama my, dear, my dear, wangu. Alafu anarafiki yake mmoja anampigia sana simu muda wote ukiuliza anasema ni...
Wapo watu wakitokewa na jambo wasilolipenda basi huona ni mkosi pasipo kujua labda ingekuwa kama wanavyotaka wangepata balaa kubwa. Ni katika muktadha huo nami nipo njia panda, kila ninapokuwa na...
A 90-year-old man was having his annual checkups.
The doctor asked him how he was feeling.
" I've never been better," the old man replied." I've got a twenty-year-old bride who's pregnant & is...
Za leo wandugu wapendwa,
Napenda kuuliza swali tafadhali, hivi mwanamme anaishi Norway,ameamua kuoa mwanamke toka mfano kwetu Tanzania na kumpeleka huko wakaanze maisha pamoja. Then huyo bibie...
et tukikosana anapofanya maombi ili alale anaanza kunitaja kwenye maombi yake mfano dk 5 zilizopita ndio narudi home nimechelewa anasali na mwanetu et mungu mponye na mme wangu pepo la kuchelewa...
Hawa hapa ni wapenzi wamefumaniwa
Hawa nao ni mtu na mpenzi wake
Hali kadhalika hawa nao ni mtu na mkewe
Hadi naogopa mwenzenu sjui ndugu zao na marafiki zao wanajisikiaje wanawaona watu wao...
Uswahilini kwenye nyumc za kupanga hii kitu ndo sana tu wadada wanapenda sana kuanika ch*pi zao bafuni sijui kwa nini?, unakuta mchupi umetundikwa kwenye msumari nyuma ya mlango wa bafu daah na...
Habari wana MMU, leo nimekuja kwenu tena kuna jambo linanitatiza kidogo kwani nimejiuliza sana, mara nyingi katika jamii yetu tuliyolelewa tumekuwa tukiona kuwa watu wanapochumbiana na hatimae...
hii imekaaje wadau hasa ndani ya familia utakuta mabinti vicheche wanapata bahati ya kuolewa ila wale waliotulia wanajikuta wakiendelea kusugua bechi why?
Kweli kuna vitu mtu ukikaa nakujiauliza unashindwa kuelewa kuwa binadamu tumeumbwa na roho ya kikatili na kinyama cha hali ya juu..
Hivi we mwanamume unajisikiaje unapokuwa unafanya ngono na mke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.