Baada ya kifo cha Mandela. Je Graca Machel ata...?

I

iMind

JF-Expert Member
2,154
2,000
1. Ataolewa na Rais Mwingine.
2. Atarudi msumbiji kuishi maisha ya ujane.
3. Ataendelea kuishi SA.
 
kabanga

kabanga

JF-Expert Member
36,149
2,000
atajiuliza hayo maswali kwana.....
 
A

Asamwa

JF-Expert Member
2,947
2,000
1. Ataolewa na Rais Mwingine.
2. Atarudi msumbiji kuishi maisha ya ujane.
3. Ataendelea kuishi SA.
Ataamua mwenyewe cha kufanya! Inakuhusu nini lakini?!
 
B

Bulesi

JF-Expert Member
7,805
2,000
She is among the world's imminent persons who have alot to do for the advancement of humanity whereever they are!!
 
nameless girl

nameless girl

JF-Expert Member
4,127
2,000
ni mapema sana kudiscuss hilo
 
DEMBA

DEMBA

JF-Expert Member
8,177
2,000
daah masikini huyu mama amekuwa mjane kwa mara ya pili.too sad
 
F

furahi

JF-Expert Member
945
225
Wala msimsikitikie huyo mjane. Lilieni ndoa zenu zinazotimiza miaka 10,20,30,40 mpaka 50 lakini ndani ya nyumba ni miserable life!! Mwenyewe anasema miaka 15 aliyoishi na Madiba were most precious, peaceful n hapiness was in the air.. N she's goin 2 cherish n honor every minute they spent together
 
jamii01

jamii01

JF-Expert Member
1,885
2,000
Ataendelea kuishi SA japo heshima yake kwa jamii itapungua...
 
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
27,748
2,000
Ataolewa na mkapa. Lazma avunje world guiness record again.
 
Daud omar

Daud omar

JF-Expert Member
2,461
1,225
Mzee wetu mugabe yupo pale nae ni shujaa
 
S

SURUMA

JF-Expert Member
2,901
1,250
1. Ataolewa na Rais Mwingine.
2. Atarudi msumbiji kuishi maisha ya ujane.
3. Ataendelea kuishi SA.
Kwani kuna Rais Mstaafu mwenye good personality ambaye kaachana na mkewe au kafiwa na mke hapa Afrika (Kusini mwa Sahara)?
 
Kigogo

Kigogo

JF-Expert Member
20,539
2,000
Nahisi anaweza kuolewa na castro au mugabe
 

Forum statistics


Threads
1,425,226

Messages
35,085,100

Members
538,249
Top Bottom