Degree za hair and beauty.

Degree za hair and beauty.

bint kikwapa

New Member
Joined
Dec 6, 2013
Posts
4
Reaction score
0
hellow wadau wa JF...naomba mnisaidie mawazo,ni kweli kuna degree za mambo ya hair and beauty? kama ipo inapatikana katika vyuo vipi,naomba mawazo yenu tafadhali..........
 
hellow wadau wa JF...naomba mnisaidie mawazo,ni kweli kuna degree za mambo ya hair and beauty? kama ipo inapatikana katika vyuo vipi,naomba mawazo yenu tafadhali..........
bint kikwapa,sijawahi kusikia hii kitu.
 
Last edited by a moderator:
Degree sijawahi kusikia, ila kwa nchi zilizoendelea watu huingia darasani kusomea mambo ya saluni ila huku kwetu tunajiendea kiholela ndio maana watu wanapata madhara.
 
Nairobi Kenya kuna chuo kinatoa course za namna!!!
 
Back
Top Bottom