Sexology


Tuko

Tuko

JF Bronze Member
Joined
Jul 29, 2010
Messages
11,191
Likes
428
Points
180
Tuko

Tuko

JF Bronze Member
Joined Jul 29, 2010
11,191 428 180
Nahisi kuna mahali tunakosea. Hii kusema mambo ya mapenzi yasifundishwe shuleni tunakosea. Matatizo yanayotokea siku hizi katika mahusiano sio ya kupuuzia. Kama tunafundishana biashara, kilimo, ufundi nk, lazima pia tujali kuwa watu wanawekeza mahela mengi na muda mrefu kwenye mapenzi huku wakikosa ujuzi kwenye hayo mambo.
Hata ukisoma tu hapa jf utagundua yapo matatizo mengi ya kimapenzi yanayotokana na watu kukosa kujua just simple principles za mapenzi. ..

kuna umuhimu somo la mapenzi kuingia somewhere katika syllabus. ..
 
Box 2

Box 2

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Messages
506
Likes
15
Points
35
Box 2

Box 2

JF-Expert Member
Joined Apr 19, 2013
506 15 35
kila kitu kikifundishwa shuleni muda utatosha kweli,watu si watazeekea masomon,ujasiliamali,ufundi,mapishi,usafi,kilimo,mahusiano,dini etc etc, kuna elimu ya darasan na ya duniani na mtu ili akamilike lazima uwe nazo zote na kuelimika si kwenda shulen tu
 
Sangarara

Sangarara

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Messages
13,115
Likes
641
Points
280
Sangarara

Sangarara

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2011
13,115 641 280
kila kitu kikifundishwa shuleni muda utatosha kweli,watu si watazeekea masomon,ujasiliamali,ufundi,mapishi,usafi,kilimo,mahusiano,dini etc etc, kuna elimu ya darasan na ya duniani na mtu ili akamilike lazima uwe nazo zote na kuelimika si kwenda shulen tu
Compare and contrast elimu ya darasani na duniani?
 
Sangarara

Sangarara

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Messages
13,115
Likes
641
Points
280
Sangarara

Sangarara

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2011
13,115 641 280
Tuko
Hii kitu niliishapata kuiwasilisha hapa, hii kitu ni muhimu sana, sex life imekuwa ni Janga la dunia nzima kwa sasa.
 
badiebey

badiebey

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Messages
5,888
Likes
485
Points
180
badiebey

badiebey

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2013
5,888 485 180
Or myb waiite life skills education,ni ukweli usiopingika mapenzi yanamgusa kila mtu
 
Emma Lukosi

Emma Lukosi

Verified Member
Joined
Jul 22, 2009
Messages
931
Likes
9
Points
35
Emma Lukosi

Emma Lukosi

Verified Member
Joined Jul 22, 2009
931 9 35
what about teaching aids?, Tigo nayo itafundishwa maana ndio habari ya muji
 

Forum statistics

Threads 1,237,927
Members 475,774
Posts 29,306,666