Circumsized Women: They are strong(powerful) but weak in love!!

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
19,489
Reaction score
18,380
Wadau, kama kuna mwanaume aliyewahi kukutana na type hii ya wanawake anaweza sema kitu due to my title above!!
when i was 20, niliwahi kutana na girl wa kirangi..kiukweli her feelings was very far..na alikuwa strong sana! bt tohara kwa girls si nzuri
 
kwa hiyo uzi wako unatufundisha nini kwa siku ya leo ijumaa ya wanaoamini ukatoriki ni njia ya msalaba..
 
natafuta ghariba ili niwe strong kama yupo jf ani pm

Nenda Mara! Smile, mangariba wanatafutwa..wawezeshwe watemane na ungariba..they kills small girls when they cutt off that thing.
 
Wadau, kama kuna mwanaume aliyewahi kukutana na type hii ya wanawake anaweza sema kitu due to my title above!!
when i was 20, niliwahi kutana na girl wa kirangi..kiukweli her feelings was very far..na alikuwa strong sana! bt tohara kwa girls si nzuri

Hii ni kweli kabisa, zumuni la kuwafanyia circumsion ni kuwaondolea uwezo wa feel sexual disire, so they are very strong, they can not feel anything abt sexing.
 
Kweli..feelings kwao zinakuwa mbali sana!!
 
Dadavua bana..imara kwa maana anakubeba ama?
Au anaenda goli kibao?...

Ha! ha! ha! imara yakutokutetereka ovyo..kumwandaa pia inachukua muda mrefu sana..m nadhani wengi wao walio olewa huwa wanafanya sex basi tu!..
 
natafuta ghariba ili niwe strong kama yupo jf ani pm

Mimi hapa! Ila Smile itabidi ulipie pesa nyingi maana procedure kwako itachukua muda mrefu zaidi! Lol!
 
Last edited by a moderator:
Wadau, kama kuna mwanaume aliyewahi kukutana na type hii ya wanawake anaweza sema kitu due to my title above!!
when i was 20, niliwahi kutana na girl wa kirangi..kiukweli her feelings was very far..na alikuwa strong sana! bt tohara kwa girls si nzuri

POWERFUL KIVIP NA WEAK KIVIP?

Wazungu wanawasingizia tu, lakini jamii za hivo hazioni shida. Kuna majungu eti ni matokep ya mfume dume, wakati si kweli, kwani wahusika ni wanawake pekee, mwanaume huwa hagusi pua kuona inafanyikaje.

kuna majungu pia kuwa hupoteza damu nyingi wajifunguapo, halina ukweli kwani hata wasiokeketwa wanapoteza maisha kwa kupoteza damu tu
 
Ha! ha! ha! imara yakutokutetereka ovyo..kumwandaa pia inachukua muda mrefu sana..m nadhani wengi wao walio olewa huwa wanafanya sex basi tu!..

sio kweli, yupo mmoja huyo akiguswa yuko fasta, tena analegea kabisa!!!! wapo wengine wasiokeketwa lakini kumshawish itakukost time na mbinu nyingi pia.
 
Huu ni ukatili tu

ukatili kwako outsiders, kwao ni ritual, ni utamaduni. na hauwadhuru kama tunavyoaminishwa na wazungu. unakutwa wamekupangia watoto hadi 12 kwa tumbo moja. uliza wakurya watakwambia
 
Hii ni kweli kabisa, zumuni la kuwafanyia circumsion ni kuwaondolea uwezo wa feel sexual disire, so they are very strong, they can not feel anything abt sexing.

uongo mtupu, hujakutana nao tu nakwambia!!! tena wengine malaya balaa
 
Back
Top Bottom