Eti wanawake wa JF especially MMU, wana AKILI nyingi kuliko Wananaume wa JF esp MMU!

Mashaxizo

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
6,712
1,225
Hihihihiiiiiii!
Sisalimii wala nini!
Hahahahahaaaa!
...
Hapa mwenzenu sjapata jibu!!!
KWANINI RATE ZA LIKES ZA WANAWAKE WA HUMU MMU ZIKO JUU KULIKO ZA WANAUME????
...
Ieleweke kwamba wapo baadhi ya me humu ndani vile vile rate zao za likes ziko juu, but ke ni zaidi na wako wengi ukilinganisha na me, moreover ke wamevunja record kuna member analikes received nyingi kuliko post zake! Duh!
...
Naamini watu wanagonga likes pale wanapokubali swaga!
It means ukiwa na mapumba, rate yake inaweza kuwa 1/5 or 1/4! Wakati unapost kama 4,000! Na hiyo rate ya 1/4 and 1/5 na kuendelea SANA SANA inashikwa na me!
...
Hapa niwatetee member wapya na wale wasiofikisha posts 500!
...
So, ke kuwa na likes nyingi kuliko me, inamaana wanaakili nyingi kuliko wanaume?
Ikimaanisha wanaswaga kuliko sisi me! Is it true? Why?
...
{likes means likes received, not given!}
...
Eti Heaven on Earth!
christine ibrahim!
King'asti!
DEMBA!
Ennie!
lara 1!
Fixed Point!
Mamdenyi!
gfsonwin!
mimi49!
amu!
tinna cute!
farkhina!
Na ke WOTE wa jf!
Najua kama mna akili nyingi! But kushinda sisi me? Au mnagongewa tu ili watu wapate kachansi fulani cha kuwadoea???
...
Eti watu8!
Eiyer!
Simplicity!
Daud omar!
mwekundu!
Mentor!
Himidini!
Mapi!
TAMNO!
Kaizer!
Katavi!
pakaJimmy!
Na me wote!
Hivi sisi ni vilaza???
Hembu fungukeni kwa nini iko hivyo!
 
Last edited by a moderator:

NIFEDIPINE

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
204
250
Wanaume wengi hatuna muda mwingi wa kukaa na kufungua mitandao ya kijamii. Muda mwingi tuko bize kutafuta pesa ili familia ziwe stable kuweza kitunza familia. Ndio maana likes nyingi huwezi kuzikuta kwa wanaume,wa ukweli waletao mabadiliko.
 

Mashaxizo

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
6,712
1,225
kwani we Mashaxizo unaonaje!!!!!tuanze na wewe kwanza mtizamo wako

Hahahahaaaa!
Kuna ke nawakubali sana! Yaani wako very intelligent! Includes you, Abblessed, kaunga, fixed point, DEMBA na yule gsfinwin {Aaagh jina lake gumu!} and others BUT sio kuzidi me, may b wako sawa but likes zenu ziko juu sana!
...
But ke wengine pumba tupu! Nashangaa likes zao ziko juu!
...
Umenielewa dada?
 
Last edited by a moderator:

Himidini

JF-Expert Member
May 8, 2013
5,540
1,225
^^
Nakubali wanawake wa JF wana akili sana ukilinganisha na hawa ninao waona huku kijiweni nilipo.
Wanastahili likes.. Pia wanaweza kucheza na akili zako usipokuwa makini na taarifa zako unaweza kujikuta upo uchi.
Ngoja nicheke na vilaza wenzangu outside JF
^^
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom