Mzee Uchwara
Senior Member
- Oct 28, 2013
- 119
- 35
Hivi wezangu mlio kwenye ndoa,hivi ni kweli mwanaume ndio anapaswa kumuanza mwanamke ili kufanya mapenzi? Naomba ushauri maana mimi mke wangu nisipomuanza tunaweza kukaa hata mwaka tusifanya mapenzi! Sasa najiuliza ja huwa hana hamu au mpaka umuanza au amenichoka, anamtu mwingine au kazi zinamfanya anarudi amechoka. Kazi zote za nyumbani anazifanya kasoro ni hiyo tu. Je na wezangu wakezenu wanafanya hivo? Nimejaribu kuongea nae lakini habadiliki.