Lyandembela1
JF-Expert Member
- May 10, 2013
- 278
- 195
Heshima mbeele wadau,
Kuna jamaa mmoja kapeleka posa kwa binti na mwz Dec au jan anatakiwa kwenda nyumbani kwa msichana kupeleka mahali. na binti yuko so desparate na ndoa sijui ndo mwaita harusi? wenyewe mwajua.
Full kuwekana kwenye profile za FB, kwenye simu. Kutambulishana kwa ndg na jamaa.
Nyuma ya pazia sasa. Jamaa ana watoto watatu mmoja alimpata akiwa form one, wa pili alimzalisha binti lakini jamaa kamkataa mtoto kuwa si wake. Lakini ukimwangalia mtoto copyright na jamaa. Na mtoto wa tatu jamaa baada ya kupata kazi alipata msichana maeneo yake ya kazi. Na akafanya taratibu zote kama mtoto wa kiafrika kapeleka posa, mahali baadae akaaingia kanisani.
Yule mke wa ndoa akamkimbia coz jamaa alikuwa haeleweki mlevi, wanawake, matumizi na mapato hayajulikani kwa mama kama familia.
Na kama nilivyosema hapo awali, kwa sasa wapo kwenye huu mchakato na huyu binti mwingine, na binti ndo kadata kwelikweli kuwa amepata mme na anataka kuolewa. Umri wake inaonyesha umesogea unaelekea saa 12 kwka ule umri wa kawaida wa mwanamke kuolewa.
Je tatizo lipo wapi?
1; Tatizo ni nbinti anataka sana kuolewa kiasi kwamba anashindwa kumchunguza mvulana?
2; Ni kutaka kutiana nuksi kwenye maisha?
3;Unamsaidiaje mtu wa hivi? coz hachelewi kusema unamwekea kauzibe kwa mpenzi wake