Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

WANA jf HELA NI NZURI LAKINI HAKUNA KIZURI KUWA NA MPENZI WAKO AMBAYE UNAJUA SI MUATHIRIKA HASA KWA KIPINDI HiKI WAKATI MAISHA YANAZIDI KUPENDEZA! AU MNA MAWAZO MENGINE NA MAWAZO YANGU?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hivi wadau wa MUM ni vizuri kuijua historia fupi ya Mapenzi ya mpenzi wako?Kwa mfano aliemtenda,aliempendaga sana,aliemvunja bkra na mengne mengi.Kama ni sawa inafaida gani kwenye Mapenzi na kama...
0 Reactions
66 Replies
5K Views
jamani ndugu zangu samahan kwanza kwa kuweka mada hii katika upande huu wa madavdav lakini pia sio mbaya kwasababu kinachonifanya nipost hivi ni mapenz. jamani lengo ni nikuomba msaada hasa kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habarini Mabestitooooo Hivi unafahamu kuwa unapendwa na Mungu na kwanini amekuweka hata sasa? SASA TAMBUA KUWA UMEPENDWA NA MUNGU JIRINGIE KIVYAKOVYAKO Utajuaje kuwa wewe ni wa thamani kuliko...
4 Reactions
26 Replies
5K Views
Nahitaji mke ambaye atakuwa tayari kupima Ukimwi,mimi nina umri wa miaka 44 nina watoto 2 na nimeajiriwa,ninaye muhitaji naomba awe na umri kuanzia miaka 39 mpaka 42,awe mfayakazi wa kuajiriwa au...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari zenu waungwana, Kuna kitu huwaga nakiwaza hususan maisha tunayoyapitia kipindi hiki ya kufanya kazi sehemu mbalimbali za mikoani ama kibiashara au kwa kuajiriwa , naomba kufahamu kama...
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Kumekuwa na wingi wa waganga wa kienyeji na matangazo mengi ya dawa za kuongeza nguvu za kiume. Nilisikia mzee mmoja akiuza dawa anasema vijana wa siku hizi hawana nguvu kabisa hivyo lazima...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Dear Friends! May I share one of my favorite song! ''WHEN YOU BELIEVE'' Please enjoy! Lets not stop believing....... No matter what happens to us , no matter what has happened, no matter how...
4 Reactions
3 Replies
962 Views
jamani hii imenitokea na hakika nimejilaumu sana tusipende utani... kuna dada nilikutana nae kwenye gari (city bus) hapa dar, ktk maongez kumbe tumesoma chuo kimoja, bas tukazid kugandana na...
0 Reactions
66 Replies
7K Views
Likizo imeisha. HABARI ZA HUMU NDANI? wanawake wamekuwa jasiri zaidi na kuonyesha wanawapenda wapenzi wao na kuonyesha hawaogopi kuweka wazi wenzi wao na wanaenda mbali zaidi kwa kuamua kutembea...
2 Reactions
74 Replies
8K Views
why msichana unamfuata na kumweleza yote ya moyoni na kutaka awe wife to be!!! lakini anazingua, baada ya kuona hana mpango na wewe ukaamua kupotezea,God akakujalia ukampata unayempenda...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Men not doing their job properly eh mpaka wanaenda kutafuta "sexual satisfaction" mbele ya waandishi wa habari? ============== Tanzanian musician shocked journalists when she screamed to the...
1 Reactions
34 Replies
9K Views
wadau kwa uzoefu wangu mdogo naona mara nyingi wanaume ndo huwa tunamaauzi ya kuvaa condom au kutovaa, baada ya deep romance wadada wengi sio wote fahamu huwa zinawatoka.....mkimaliza ku do...
6 Reactions
111 Replies
23K Views
naomba muondoe mzizi wa fitina juu ya hili swala ambalo tulikaa vijana zaid ya watano tukijadili bila kufika muafaka zaid ya kupga kelele ...ETII KUna uwezekano gani ukatembea na mtu mwenye ukimwi...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Wanajamvi kwa cku nyingine mungu katujalia pumzi kwa wale alowapenda.... Naomba ushauri juu ya hli Kuna rafiki yangu nasoma naye ktk chuo fulan hapa Dsm. Cku za hv karibun katutambulisha msichana...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Habari wapendwa, mi ni kijana wa kiume na nina umri wa miaka 29 na ni mwajiriwa wa taaisisi isiyo ya kiserikali, shuuli zangu nafanyia Dar es salaam na Arusha. Sina mke, sina mchumba, na sina...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
....ninawasalimu nyote . Ninataka nilete mada ifuatayo kwenu,ili tubadilishane mawazo kuhusu mahusiano/mapenzi. Wakati mapenzi yalitarajiwa kuwa uwanja wa furaha upendo na amani,mambo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ndugu zangu hapa MMU hamjambo wote..?? Poleni kwa wale wagonjwa,na wale wenye UPEM(Ukosefu wa Pesa Mfukoni) halikadhalika waliofiwa na matatizo mengine,Mungu wetu ni mwema atatenda kadiri ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wana mmu, leo nimesikiliza kwa makini sana hii nyimbo ya rich mavoko,nmegundua kwann vijana wengi wanaupenda na wazee hawaupendi (hasa hii sehemu ya kuchapiwa ni siri ya ndani). Je ni kweli hapa...
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Mimi ni kijana mzuri tena rijali na mwenye sifa ya kuwa mume na kuwa baba wa familia.Natafuta bint mweye sifa ya kuwa Mke na kuwa mama watoto wetu pindi tutakapooana.sifa zake awe mwenye hofu ya...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom