Rafiki yangu kipenzi anasoma chuo flani hapa mjini, amekuwa katika mapenzi na mwanaume mmoja ambaye amekuwa haeleweki yaani utadhani ndo yahaya aliyeibwa na Jide.
Rafiki yangu anaonekana...
Ni wakati muafaka wana JF Kujadili hili jambo:Mimi nipo A-Town kikazi, juzi nilikuwa napata lunch katika mgahawa mmoja upo maeneo ya CLOCK TOWER.Tutakawa tumekaa meza moja na kijana...
Wanajanvi wengi wamekuwa wakichangia style za mapenzi na namna ya kumfikisha mwanamke kileleni, kwa masikitiko makubwa wanamsahau mkombozi wa wenye vipara, sugua-jiwe, leo wacha nitoe fursa hii...
Katika tembea zako za kutafuta mjini unakutana na mtu mnayefahamiana. Mara ghafla anakuambia 'afadhali nimekutana na wewe nikupe na kadi ya mchango". Ukiangalia mchango umewekewa na kiwango na...
Ni Nelson Mandela. Dunia nzima simanzi. Katutoka shujaa na mzalendo wa Africa.
Kitu unachotakiwa kujua ni kwamba, alifungwa jela miaka 27 lakini alipofunguliwa aliwasamehe wote waliomfunga na...
Ndugu zang kama umjuavyo tabia za wachaga mwishoni mwa mwaka lazima warudi wakahesabiwe makwao.Msichana wang nae yupo kwenye hilo kundi hivyo ntakuwa free mpaka january 2014.Msichana mzuri mwenye...
Mimi nimefanya operation ya kupunguza maziwa.
Nilishawahi kuanzisha uzi hapa nikiomba ushauri wa kupunguza maziwa yaliyoongezeka baaada ya kupata watoto wawili. Nilipata pm nyingi sana za kunipa...
Ndugu zangu mwezi Mungu amenipa zawadi ya mchumba mzuri kweli kitabia na hata kisura, kiukweli ananipenda na hata mie nampenda, watu wengi wakiwepo marafiki wamegundua kuwa sina ujuzi wa...
Linapokuja swala la mapenzi, wanawake ndio wanaokabiliwa na changamoto nyingi katika kuchagua mwenza hususan pale wanapokuwa wametokana na wanaume kadhaa ambao wameonyesha nia. Kutoka huko...
Habar,mchumba wangu niliyempata kwetu ni mwiko,kuna mmama aliwah kuolewa kwetu,hivyo alisema ni marufuku ndgu yake,kuolewa kwetu,
Hapa Nilipo naumia sana, Sababu ya huu Mwiko,Uliowekwa Miaka...
"I'm here to tell you, though, ladies
that the term "gold digger" is one
of the traps we men set to keep
you off our money trail; we
created that term for you so that
we can have all our...
Habari ya wakati huu wanaJF?
...katika maisha ya kila siku kuna mambo mengi yamekua yakitokea kwa watu waliopo kwenye mahusiano ya kimapenzi,mambo haya yanaweza kuwa ya kufurahisha na pia ya...
Wana Jf
salaam ziwafikie..
Mpenz wangu tunapendana sana.Tatizo ni dini zetu yy baba ake alikuwa muislam,mm ni mkristu.
Ilifikia wakati,mm na yy tulikubaliana mahusiano yetu yawe rasmi.Hapo...
Nipo na mahusiano na msichana mmoja ambay mama mchaga ila baba sio mchaga ila toka kuzaliwa hd nw amekulia uchagan ila tatizo familia yetu hata ndugu wengne wote awataki kuona mtoto yeyote anaoa...
Ukimuhuliza sasa hivi msichana angependa aolewe na mwanaume wa aina gani yaani ambae amejikamilisha kila kitu au ambae mtaanza wote from zero wote watakuambia wanataka wa kuanza nae maisha ila...
Habari zenu wana-MMU!!
Kuna rafiki yangu ambaye naweza kumuita kaka pia maana tangu tukiwa wadogo tumeishi pamoja ila kadri muda ulivyokwenda kila mtu aliekea kule ambapo alipotegemea kujenga...
Kuna familia moja imejengea karibu kabisa na kwangu tokea wamehamia ni miezi minne na zaidi, Baba wa familia hii ni wa rika langu kabisa, siku chache baada ya kuhamia tulikutana kwenye Ibada ya...
Wanawake wengi hasa walioolewa wamekosa ubunifu wamebaki na wivu, mnajua tu hamuwezi kazi ndo maana tukichelewa kidogo nyumbani mnanuna wiki nzima, ndoa/mapenzi kisiwe kigezo cha kumfunga mwenzio...
Natafuta hoteli,lodge nzuri iliyo nje ya mji kbs moja ya mikoa hii, arusha, mwanza au bukoba kwa ajili ya mapumziko baada ya harusi (honeymoon) . Plz mwenye taarif za kunisaidia ikiwa ni pamoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.