habari wa ndugu
nina mdogo wangu nyumbani ni wa kiume (30yrs) kuna tabia ya tofauti nimeiona nayo ni kupewa vyakula na mazawadi na mke wa jirani yangu wakati mwingine anaenda huko na kuongea yani...
Za asubuhi, Hivi akina dada/wamama waliomo humu jamvini mna matatizo gani? Naombeni niwaulize hilo kwanza then nitaendelea kufafanua kwanini nimeuliza swali hilo, Hivi kama mtu ana jambo la msingi...
Wanawake mlioolewa acheni hii tabia isiyo ya kistaraabu ya kudokoa hela kwenye mifuko ya suruali na mashati ya waume zenu,,,haiwezekani unadokoa mpaka elfu kumi ,,ukiulizwa unasema eti aah...
Mimi nipo Arusha kikazi, juzi nilikuwa napata lunch katika mgahawa mmoja upo maeneo ya CLOCK TOWER.Tutakawa tumekaa meza moja na kijana mmoja huku tunaendelea kupata menu,ghafla akatokea kijana...
Baada ya kuonana bila kujikinga kwa miezi 2,yeye akaamua tukaangalie afya zetu.Majibu yakaja ye ndo yuko POSSITIVE mimi NEGATIVE.Hakuweza amini na akasema kama nikimuacha atajiua kwani hakuna...
mimi kijna mwenye umri 22-25 natafuta mwanamke yoyote yule mwenye sifa zifuatazo Elimu drs la 7 nakuendele mrefu kiasi ,mnene kiasi(asiwe mwembamba) anyejua mapenzi (sio lazma) ,mchesi ,mwenye...
Wanaume kama hatuna sababu za msingi za kuachana na kuoa mke mdogo tuwe tunaacha au Tuwe makini sana! Sijajua ni umakini wa aina gani!!
Baba yangu mzazi alimuoa mama yangu miaka 40 iliyopita...
Wanaume jamani badilikeni laa sivyo mtajiua kila siku na kuuwa wenzenu.aslimia kubwa ya wanaume hawajui mapenzi. Wao wanadhani ili wapendwe wawe na pesa tu! Mnakosea, mwanamke ali akupende...
Wana jamvi naomba msaada wenu katika jambo hili;Mimi mwaka 2009 nilifunga ndoa na binti mmoja ambae nilikutana nae kazin na baada ya kama miez kadhaa tuliamua kufunga ndoa kanisani lakin wakati...
Hello wana JF. I have never posted anything on this forum ila leo mwenzenu yamenikuta! I got into a relationship with this guy about a couple of months ago. He is loving, caring...
Pindi wakiwa wamewakosea wazazi wao, ni vigumu sana kuwapigia magoti na kuwaomba msamaha ili wasamehewe.
Cha ajabu ni wepesi sana kuwapigia magoti waume zao, mabwana zao.
Napata tabu sana...
Wakubwa habari zenu. Mimi ni mtanzania halisi ambaye huwa nina ndoto ya kuwa na mke kutoka israeli. Kama kuna mtu ambaye anafahamiana na binti wa kiisraeli tafadhali nitumie contact zake
Nimepoteza muda wangu mwingi kukufuatilia wewe, i lost my money too and still unasema kuwa hunitaki..... Hivi unajiskiaje labda. Hujui kama nyie mpo wengi kuliko sisi?... I will make one approach...
Mahusiano ni jambo linalopelekea mtu kuwa mwema au kuwa na roho mbaya. Katika mizunguko yangu juzi nilikuwa sehemu nikakutana na dada mmoja wa makamo mwenye watoto 3(aliniambia). Kwa mtizamo...
Nimetafakari inakuwaje Mandela alipotoka jela hakumsamehe kato mkewe( muafrica mwenzake) na akampa talaka eti kwa kua alisaliti ndoa! lakini aliwasamehe waliomfunga maisha.....
Hivi msaliti wa...
Nataka kuoa mke wa kihaya,
sasa tatizo linakuja cjui ugen?watu wa huko wananiambia mwanamke wa kihaya bila kumshika Katelero anakuwa haridhiki, katelero ni nini,naomba mnisaidie nisije nikakosa...
Habari wana MMU.Kwanza kabisa nafarijika sana kuwa mwanajukwaa hili...na huwa napata mengi sana kwa njia ya usomaji wa threads na comments...kiufupi jamii forums unifanya nismile most of the tym...
Mwanafunzi wa SAUT jana linahifadhiwa amefanyiwa operation baada ya kunywa DAWA kali inayodhaniwa ni ya kurefusha Uume wake, baada ya kutumia dawa hiyo ndipo mpenzi wake hakutokea na kwa maelezo...
katika maisha yangu yote sijawahi kupata mtoto wakike anae nipenda nakunidhamini huwa najiulizaga maswali siyapatiagi majibu au wangu wa kunipenda haja zariwa maana nikikumbuka hapo mwanzo nilisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.