Nataka Nimshirikishe Mke Wake!!

chakii

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Messages
17,021
Likes
14,892
Points
280
chakii

chakii

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2013
17,021 14,892 280
Habari zenu wana-MMU!!

Kuna rafiki yangu ambaye naweza kumuita kaka pia maana tangu tukiwa wadogo tumeishi pamoja ila kadri muda ulivyokwenda kila mtu aliekea kule ambapo alipotegemea kujenga maisha yake,.

Huyu rafiki yangu tunaheshimiana sana nikimaanisha wote tumetokea mtaa mmoja tangu tukiwa wadogo hivyo tunaelewana kwa undani zaidi,

Tumekutana mjini na kuendeleza urafiki wetu tangu tukiwa wadogo, mara kwa mara tumekuwa tukijumuika pamoja kupata hata vinywaji huku tukijikumbushia mambo ya utoto kule kijijini,.

Lengo la kuanzisha hii thread

Huyu rafiki yangu amekuwa akinishirikisha matatizo yake mara kwa mara na pale ninapokuwa na uwezo huwa ninamsaidia maana naamini hata mimi kuna siku nitapata shida na nitaomba msaada wake,.

Mke wa huyu rafiki yangu alipata ujauzito na siku ya kujifungua huyu rafiki yangu hakuwa na fedha za kumgharamia mke wake hivyo aliniomba nimsaidie kiasi fulani cha fedha ambacho nisingependa kukitaja ili aweze kugharamia huduma hiyo huku akiniahidi kurejesha kiasi hicho muda si mrefu,.

Cha ajabu takriban miezi mitano imeshapita mpaka sasa hajanirejeshea fedha zangu pamoja na mimi kumsamehe nusu ya kiasi nilichomsaidia,.

Kila ninapompigia simu analia shida ilhali mimi najua kweli mtu huenda mambo yakawa bado hayajamuwia vizuri lakini nashangaa kwa nini hata nusu ameshindwa baada ya kumsamehe sehemu ya deni hilo,.

Kwa sasa nazihitaji hizi fedha ili na mimi niweze kuendesha mambo yangu lakini naona Jamaa hana dalili za kurejesha fedha zangu hata nusu,..

Mke wa rafiki yangu tunafahamiana maana Jamaa alishanitambulisha kwake mimi kama mdogo wake,.

Wana-MMU mnaonaje nikamshirikisha Shemeji labda huenda akanirejeshea fedha zangu!!

Je nimueleze vipi mke wake kuhusu deni hili?

Je nimwambie kwamba hizi hela nilimkopesha mume wake wakati yeye anajifungua?

Ushauri wenu ni muhimu kwangu wadau,..
 
pingu mkoka

pingu mkoka

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
433
Likes
48
Points
45
pingu mkoka

pingu mkoka

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
433 48 45
Kama hataki kurudisha mgegedee mke wake mmalizane kwa7 zilichukuliwa kwa ajili yake.
 
sister

sister

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2011
Messages
9,031
Likes
3,999
Points
280
sister

sister

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2011
9,031 3,999 280
Kama hataki kurudisha mgegedee mke wake mmalizane kwa7 zilichukuliwa kwa ajili yake.
Kwahiyo hapa pesa yake itakuwa imerudishwa?...yeye kasema anashida ya pesa na siyo ya kugegeda..
 
M

Mazindu Msambule

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Messages
5,354
Likes
2,633
Points
280
M

Mazindu Msambule

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2012
5,354 2,633 280
Kama ni rafiki yako kweli bila shaka unajua financial status yake ikoje, issue sio kukulipa nusu au deni lote, kama yuko vibaya kiuchumi sioni hata kama ukimwambia mkewe unaweza kupata msaada, twambie, kiuchumi yukoje? Anafanya kazi ipi ya mshahara upi, au unafanya biashara gani?
 
sister

sister

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2011
Messages
9,031
Likes
3,999
Points
280
sister

sister

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2011
9,031 3,999 280
Jaribu kumwambia kuwa utampa taarifa mkewe uone atasemaje..ila vizuri mkamalizana wenyewe..
 
chakii

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Messages
17,021
Likes
14,892
Points
280
chakii

chakii

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2013
17,021 14,892 280
Kama ni rafiki yako kweli bila shaka unajua financial status yake ikoje, issue sio kukulipa nusu au deni lote, kama yuko vibaya kiuchumi sioni hata kama ukimwambia mkewe unaweza kupata msaada, twambie, kiuchumi yukoje? Anafanya kazi ipi ya mshahara upi, au unafanya biashara gani?
mkuu financial status yake haiwezi kumzuia kunilipa deni langu!!

Anaingiza hela nzuri tu,.
 
Zorrander

Zorrander

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Messages
435
Likes
4
Points
35
Zorrander

Zorrander

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2012
435 4 35
Kama kweli ni rafiki yako kama ulivyosema huna haja ya kumdhalilisha kwa mkewe. Jiulize, kwani ukimwambia mkewe ndio hela zitapatikana???? Siku nyingine ukimsaidia mtu msaidie tu kwa kiwango kile ambacho hakitakuumiza incase mambo yake hayakwenda fresh kwa wakati.
 
chakii

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Messages
17,021
Likes
14,892
Points
280
chakii

chakii

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2013
17,021 14,892 280
Jaribu kumwambia kuwa utampa taarifa mkewe uone atasemaje..ila vizuri mkamalizana wenyewe..
nimeshamwambia mkuu na hajanijibu chochote mpaka sasa!!

Wakati mwingine hata simu hapokei!!
 
sister

sister

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2011
Messages
9,031
Likes
3,999
Points
280
sister

sister

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2011
9,031 3,999 280
nimeshamwambia mkuu na hajanijibu chochote mpaka sasa!!

Wakati mwingine hata simu hapokei!!
Kwani unauhitaji wa haraka sana na hiyo pesa..? Kama unaweza mpe muda zaidi..
 
MKATA KIU

MKATA KIU

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Messages
2,163
Likes
1,005
Points
280
MKATA KIU

MKATA KIU

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2010
2,163 1,005 280
Wanaume Tunalindana hata iweje, sasa wewe kumuhusisha Mke wake sio uanaume huo..

Cha kufanya jitaidi uonane na jamaa face to face umpe vidonge vyake kwamba anachofanya sio nawe una shida na hela uone atasemaje?

Ni bora kuhusisha marafiki wenzenu wa kiume wakamchane jamaa anazingua kuliko kumhusisha mke wake..

Wanawake hawatakiwi kujua mambo yote ya mumewe maana wenyewe tu hawajielewi. Achelewi siku kulianzisha na kuanza kumpiga madongo mumewe ana Kupa kopa kwa watu na kulipa halipi..

Kumwambia mkewe unakuwa ujamsaidia jamaa, wala kujisaidia mwenyewe zaidi ya kumdhalilisha rafiki yako wa siku nyingi..

Mda mwingine unafumba macho tu unasamehe.. Pesa kitu gani bwana, tunahonga sh ngapi kwa mwaka, Kunywa bia Bar, michango ya harusi etc..
 
Kinyau

Kinyau

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2006
Messages
829
Likes
168
Points
60
Kinyau

Kinyau

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2006
829 168 60
Mi ndio ningekuwa mke wa huyo jamaa ningekushangaa sana kama ungekuja kusema hayo madai yenu, unles in tens of millions. Kweli urafiki gani that you are considering sacrificing all your old friend na kwenda kutangaza.

Mwambie rafiki yako una shida na hiyo hela, kama harudishi basi jaribu kukaa kimya, ipo siku fadhila yako itarejeshwa na Mungu.
 
J

Jizzy1

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2013
Messages
464
Likes
4
Points
35
J

Jizzy1

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2013
464 4 35
Dah, fanya kama imepotea kaka, let it go.
 
chakii

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Messages
17,021
Likes
14,892
Points
280
chakii

chakii

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2013
17,021 14,892 280
Mi ndio ningekuwa mke wa huyo jamaa ningekushangaa sana kama ungekuja kusema hayo madai yenu, unles in tens of millions. Kweli urafiki gani that you are considering sacrificing all your old friend na kwenda kutangaza.

Mwambie rafiki yako una shida na hiyo hela, kama harudishi basi jaribu kukaa kimya, ipo siku fadhila yako itarejeshwa na Mungu.
mkuu hata kama ingekuwa shilingi kumi its means alot to me,.

Kuvunja urafiki kwa ajili ya deni its better maana i can't etertain such a thing,..
 
chakii

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Messages
17,021
Likes
14,892
Points
280
chakii

chakii

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2013
17,021 14,892 280
Wanaume Tunalindana hata iweje, sasa wewe kumuhusisha Mke wake sio uanaume huo..

Cha kufanya jitaidi uonane na jamaa face to face umpe vidonge vyake kwamba anachofanya sio nawe una shida na hela uone atasemaje?

Ni bora kuhusisha marafiki wenzenu wa kiume wakamchane jamaa anazingua kuliko kumhusisha mke wake..

Wanawake hawatakiwi kujua mambo yote ya mumewe maana wenyewe tu hawajielewi. Achelewi siku kulianzisha na kuanza kumpiga madongo mumewe ana Kupa kopa kwa watu na kulipa halipi..

Kumwambia mkewe unakuwa ujamsaidia jamaa, wala kujisaidia mwenyewe zaidi ya kumdhalilisha rafiki yako wa siku nyingi..

Mda mwingine unafumba macho tu unasamehe.. Pesa kitu gani bwana, tunahonga sh ngapi kwa mwaka, Kunywa bia Bar, michango ya harusi etc..
yeah, kweli mkuu,.

But if the guy angekuwa faithfull kutimiza ahadi yake hope evrthing would have gone smoothly,.Jamaa hata simu yangu hapokei nowadays, hata meseji hajibu pia!!

Kama angeona urafiki wetu una thamani asingefanya anachokifanya sasa,..
 
jamiif

jamiif

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2012
Messages
2,415
Likes
28
Points
135
jamiif

jamiif

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2012
2,415 28 135
unajua kwenye maisha, there is always NEXT TIME....mi naona achana naye we muache tu km ameamua kuingia mitini, ila naamini atakuja kukwama tena na bila haya atakutafuta..hapo sasa ndio umkumbushe hilo deni lako...pole sana mkuu.hiyo ni opsheni ya kwanza, ya pili mtishie kuwa utamwambia mkewe kuhusu suala hilo uone atafanyaje..
 
LIKUD

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Messages
5,578
Likes
3,215
Points
280
LIKUD

LIKUD

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2012
5,578 3,215 280
Habari zenu wana-MMU!!

Kuna rafiki yangu ambaye naweza kumuita kaka pia maana tangu tukiwa wadogo tumeishi pamoja ila kadri muda ulivyokwenda kila mtu aliekea kule ambapo alipotegemea kujenga maisha yake,.

Huyu rafiki yangu tunaheshimiana sana nikimaanisha wote tumetokea mtaa mmoja tangu tukiwa wadogo hivyo tunaelewana kwa undani zaidi,

Tumekutana mjini na kuendeleza urafiki wetu tangu tukiwa wadogo, mara kwa mara tumekuwa tukijumuika pamoja kupata hata vinywaji huku tukijikumbushia mambo ya utoto kule kijijini,.

Lengo la kuanzisha hii thread

Huyu rafiki yangu amekuwa akinishirikisha matatizo yake mara kwa mara na pale ninapokuwa na uwezo huwa ninamsaidia maana naamini hata mimi kuna siku nitapata shida na nitaomba msaada wake,.

Mke wa huyu rafiki yangu alipata ujauzito na siku ya kujifungua huyu rafiki yangu hakuwa na fedha za kumgharamia mke wake hivyo aliniomba nimsaidie kiasi fulani cha fedha ambacho nisingependa kukitaja ili aweze kugharamia huduma hiyo huku akiniahidi kurejesha kiasi hicho muda si mrefu,.

Cha ajabu takriban miezi mitano imeshapita mpaka sasa hajanirejeshea fedha zangu pamoja na mimi kumsamehe nusu ya kiasi nilichomsaidia,.

Kila ninapompigia simu analia shida ilhali mimi najua kweli mtu huenda mambo yakawa bado hayajamuwia vizuri lakini nashangaa kwa nini hata nusu ameshindwa baada ya kumsamehe sehemu ya deni hilo,.

Kwa sasa nazihitaji hizi fedha ili na mimi niweze kuendesha mambo yangu lakini naona Jamaa hana dalili za kurejesha fedha zangu hata nusu,..

Mke wa rafiki yangu tunafahamiana maana Jamaa alishanitambulisha kwake mimi kama mdogo wake,.

Wana-MMU mnaonaje nikamshirikisha Shemeji labda huenda akanirejeshea fedha zangu!!

Je nimueleze vipi mke wake kuhusu deni hili?

Je nimwambie kwamba hizi hela nilimkopesha mume wake wakati yeye anajifungua?

Ushauri wenu ni muhimu kwangu wadau,..
Hauna haja ya kumwambia mke wake, mvumilie tu ndugu yangu, huenda amekwama kweli.
 
U

usomdudu

Senior Member
Joined
Dec 18, 2011
Messages
105
Likes
44
Points
45
U

usomdudu

Senior Member
Joined Dec 18, 2011
105 44 45
Wakati unampa huyo mke wake alikuwepo?Acha utoto wewe!
 
Forum statistics

Threads 1,251,865
Members 481,917
Posts 29,788,241