Bibi Kanikataza!


A

A.K.A.47

Member
Joined
Jan 27, 2013
Messages
56
Likes
0
Points
0
A

A.K.A.47

Member
Joined Jan 27, 2013
56 0 0
Wana Jf
salaam ziwafikie..
Mpenz wangu tunapendana sana.Tatizo ni dini zetu yy baba ake alikuwa muislam,mm ni mkristu.

Ilifikia wakati,mm na yy tulikubaliana mahusiano yetu yawe rasmi.Hapo ndio ulikuwa mwanzo wa matatizo.Baba ake mzazi hakuwa tayari bintiye kuolewa na mkristu.

Tulijaribu kila njia,ikafikia hatua tukaomba msaada wa wazee wenye hekima, ili tusaidiwe lkn jitihada zetu ziligonga mwamba.

Mpenz wangu aliamua kushika mimba ili kumshinikiza baba ake mzazi akubali.Thank God mambo yalienda km alivyo kusudia.

Niliitwa ili nithibitishe endapo nilihusika.Nilikubali hivyo nikatozwa tsh.500,000 km faini ya uchafuzi wa familia.Kisha nikakabidhiwa binti.

Siku chache zikiwa zimesalia kwa mpenz wangu kujifungua,aliamua kurudi kwao ili akajifungulie chini ya uangaliz wa mamake.Hakukaa hata siku moja baba ake mziza akajiua.

Nilienda nyumba kwao kumjulia hali ikiwa zimebaki siku tatu ajifungue.Dada yake alianza kunishambulia huku akinituhum mimi ndio niliyesababisha baba yake ajiue.

Alijifungua mtoto wa kiume baada ya miez 9 kutimia.Bahati mbaya mtoto alipoteza maisha muda mfupi baada ya kuzaliwa.

Niliwaza sana sababu ya mtoto kufa.Kwakuwa wote tulipima maambukizi ya virus vya ukimwi na wote tulikuwa salama.

Labda mpenz wangu alipatwa na shock hivyo kuwa na psychological torture iliyopelekea kumuathiri mtoto? kwa kuwa hapakuwa na sababu yoyote waliyotoa ma nurse as to the reason why the child died shortly after birth.

Niliamua kurudi hospital nikiwa na mpenz wng,mamake mzazi pamoja na shangazi yake ili japo tukapewe clinical record card,in case ikitokea kapata ujauzito ni future iwe rahasi ku track record.

Daktri aliyekuwa zamu aligoma kutoa clinical record card kwakuwa aliyekuwepo shift wkt mpenz wangu anajifungua tayar alshaondoka.

Baada ya siku chache nikapata habari kuwa mtoto wangu alivutwa kitovu kusudi afe.Aliyefanya hivyo ni yule dada yake na mpenzi wangu alinishambulia mwilini na kunituhum kuwa mimi ndio chanzo cha baba ke kujiua.k

Naomba niishie hapa ntaendelea...
 
miss chagga

miss chagga

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Messages
57,572
Likes
31,026
Points
280
miss chagga

miss chagga

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2013
57,572 31,026 280
kwa nini sasa unaishia njiani? nishtue wakati unaendelea
 
Mentor

Mentor

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2008
Messages
19,936
Likes
10,928
Points
280
Mentor

Mentor

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2008
19,936 10,928 280
Aisee mmezidi nyie watu!Ila hata mimi nitalipizia tu siku moja..ngoja nipate inspiration nzuri nije kuwasimulia kisa changu hapa..Kitaanza 01/01/2014 hadi 31/12/2014 mtalia nawaambia!!!!!
 
mwallu

mwallu

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2013
Messages
6,784
Likes
172
Points
160
mwallu

mwallu

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2013
6,784 172 160
aah! we ndo utakua unatukomoa kabisa..mwaka mzima??
Aisee mmezidi nyie watu!Ila hata mimi nitalipizia tu siku moja..ngoja nipate inspiration nzuri
nije kuwasimulia kisa changu hapa..Kitaanza 01/01/2014 hadi 31/12/2014
mtalia nawaambia!!!!!
 
miss chagga

miss chagga

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Messages
57,572
Likes
31,026
Points
280
miss chagga

miss chagga

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2013
57,572 31,026 280
Aisee mmezidi nyie watu!Ila hata mimi nitalipizia tu siku moja..ngoja nipate inspiration nzuri nije kuwasimulia kisa changu hapa..Kitaanza 01/01/2014 hadi 31/12/2014 mtalia nawaambia!!!!!
Alafu unaishia kwenye utamu tu unakaa siku mbili unaendelea
 
Munkari

Munkari

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2013
Messages
8,109
Likes
563
Points
280
Munkari

Munkari

JF-Expert Member
Joined Feb 9, 2013
8,109 563 280
Aisee mmezidi nyie watu!Ila hata mimi nitalipizia tu siku moja..ngoja nipate inspiration nzuri nije kuwasimulia kisa changu hapa..Kitaanza 01/01/2014 hadi 31/12/2014 mtalia nawaambia!!!!!
hahaha! Aii wewe! Usitufanyie hvyo wendhio!!
 
Heaven on Earth

Heaven on Earth

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2013
Messages
37,147
Likes
5,606
Points
280
Heaven on Earth

Heaven on Earth

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2013
37,147 5,606 280
nasubiria muendelezo............
Mentor hawaonagi stori zako...mwishoni unatuwekea na wasaalam
 
Last edited by a moderator:
byb sac

byb sac

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
903
Likes
114
Points
60
Age
26
byb sac

byb sac

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
903 114 60
hahah kama movie za kibongo...watch out part two........
 
mtoto matataa

mtoto matataa

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Messages
390
Likes
92
Points
45
mtoto matataa

mtoto matataa

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2012
390 92 45
Aisee mmezidi nyie watu!Ila hata mimi nitalipizia tu siku moja..ngoja nipate inspiration nzuri nije kuwasimulia kisa changu hapa..Kitaanza 01/01/2014 hadi 31/12/2014 mtalia nawaambia!!!!!
sipati picha ndio ungekuwa shigongo ,kila siku unaweka paragraph moja unamalizia itaendelea kesho
 
gorgeousmimi

gorgeousmimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2010
Messages
8,865
Likes
405
Points
180
gorgeousmimi

gorgeousmimi

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2010
8,865 405 180
Aisee mmezidi nyie watu!Ila hata mimi nitalipizia tu siku moja..ngoja nipate inspiration nzuri nije kuwasimulia kisa changu hapa..Kitaanza 01/01/2014 hadi 31/12/2014 mtalia nawaambia!!!!!
He he he nasubiria kwa hamu!!!
 
Mapi

Mapi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2011
Messages
6,864
Likes
180
Points
160
Mapi

Mapi

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2011
6,864 180 160
...nilitaka kuua bibi akanikataza. FULL STOP. mnakera nyie watu.
 
Mapi

Mapi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2011
Messages
6,864
Likes
180
Points
160
Mapi

Mapi

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2011
6,864 180 160
hahahaha Mentor tutakutumia DEMBA utalainika tu
 
Last edited by a moderator:
Lady.A

Lady.A

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2013
Messages
383
Likes
20
Points
35
Lady.A

Lady.A

JF-Expert Member
Joined Dec 13, 2013
383 20 35
na mwenzenu malalamiko hayo ndo anapeeenda!!! aya we, endelea
 
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Messages
47,724
Likes
3,407
Points
280
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2010
47,724 3,407 280
embu tumuite Watu8 aje kututabiria mwisho wake binafsi nshachoka kusubiri.
Hahah...hebu kamata hii juice baridiii ya embe usichoke.

Jamaa mwishoni ataomba ushauri kuwa, bibi yake kamkataza kuendelea na huyo binti lakini yeye moyo wake bado unampenda...je afanyeje?
 
Kaizer

Kaizer

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2008
Messages
25,025
Likes
2,109
Points
280
Kaizer

Kaizer

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2008
25,025 2,109 280
Mapi ngoja baby yangu Kaizer apite pande hii...............hapa hapatakuwa salama kwako.
Mapi you have been duly warned. DEMBA is not tradable.

Halafu huyu Mentor unamtafutia kesi ujue
 
Last edited by a moderator:
Chocs

Chocs

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Messages
8,216
Likes
214
Points
160
Chocs

Chocs

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2012
8,216 214 160
Wai

Mi sipendagi hizi mambo ya itaendelea

Sasa hapa mtu utatoa ushauri gani, acheni kukatisha bhanaa
 

Forum statistics

Threads 1,252,030
Members 481,948
Posts 29,793,471