Jambo gani unaweza kufanya kubadilisha muonekano wako?

V

vasilisa mzuri

Senior Member
Joined
Jul 9, 2013
Messages
114
Likes
3
Points
0
V

vasilisa mzuri

Senior Member
Joined Jul 9, 2013
114 3 0
Mimi nimefanya operation ya kupunguza maziwa.
Nilishawahi kuanzisha uzi hapa nikiomba ushauri wa kupunguza maziwa yaliyoongezeka baaada ya kupata watoto wawili. Nilipata pm nyingi sana za kunipa moyo na wengine wachache walinitukana na kunifokea.
Sikuwa na fedha za kufanya operation hiyo, nikachukua mkopo benki millioni za kutosha na baada ya utafiti wa kutosha nikajikuta nchini india na ni wiki ya 3 tangu nifanyiwe operation hiyo.
Nimerudi nyumbani juzi na ninaendelea vizuri. Na nisiseme uongo ninaonekana vizuri sana chuchu kama mtoto wa miaka 14.

Ilinichukua ujasiri wangu wote kufanya hii operation na sijutii hata kidogo uamuzi niliofanya.
 
badiebey

badiebey

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Messages
5,888
Likes
485
Points
180
badiebey

badiebey

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2013
5,888 485 180
Kwn my dear yalikuwa makubwa kias hcho,poleh,if u happy with what u have now sawa,lakn hamna any side effects?
 
Power to the People

Power to the People

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2007
Messages
1,200
Likes
253
Points
180
Power to the People

Power to the People

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2007
1,200 253 180
You have got guts, personally ningekuwa na uwezo ningefanya liposuction for my tummy and the love handles. Nadhani liposuction pekee haitoshi na maombi pia tena na kufunga.

Seriously hongera and enjoy your new boobs.
 
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2012
Messages
23,085
Likes
6,245
Points
280
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2012
23,085 6,245 280
Kumbe saa 6 ishu eeh
 
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Messages
47,719
Likes
3,398
Points
280
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2010
47,719 3,398 280
Hahaha!!!

Purukushani zote hizo ni ili mumeo asikudis...hongera kwa kuwa na chuchu saa 6 kama papai changa
 
V

vasilisa mzuri

Senior Member
Joined
Jul 9, 2013
Messages
114
Likes
3
Points
0
V

vasilisa mzuri

Senior Member
Joined Jul 9, 2013
114 3 0
Kwn my dear yalikuwa makubwa kias hcho,poleh,if u happy with what u have now sawa,lakn hamna any side effects?
Wataalamu wanasema size 40 G yalikuwa makubwa na kusababisha maumivu ya mgongo
 
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Messages
47,719
Likes
3,398
Points
280
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2010
47,719 3,398 280
Wataalamu wanasema size 40 G yalikuwa makubwa na kusababisha maumivu ya mgongo
Last time ulipoweka uzi wako kama sikosei niliandika kuwa mwanamke mwenye kushikilia rekodi ya dunia kwa kuwa na maziwa makubwa, titi lake moja tu ni kilo 25.

Sasa sidhani kama umemzidi huyo mwanamama na pia sidhani kama huo ukubwa uliokuwa nao unaweza kuwa ni rekodi hata hapa Tanzania.

Lakini kwa kuwa yote hayo umeyafanya juu ya mwili wako na matakwa yako binafsi, basi sawa sisi yetu macho tu kusoma uandikacho.
 
Mashaxizo

Mashaxizo

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2013
Messages
6,723
Likes
110
Points
145
Mashaxizo

Mashaxizo

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2013
6,723 110 145
Duh!
Umekata kizazi na umepunguza nyonyo!!
Purukushani zote hizo ili uonekane mzuri tu????????
Mmmh haya bhana!
 
V

vasilisa mzuri

Senior Member
Joined
Jul 9, 2013
Messages
114
Likes
3
Points
0
V

vasilisa mzuri

Senior Member
Joined Jul 9, 2013
114 3 0
Last time ulipoweka uzi wako kama sikosei niliandika kuwa mwanamke mwenye kushikilia rekodi ya dunia kwa kuwa na maziwa makubwa, titi lake moja tu ni kilo 25.

Sasa sidhani kama umemzidi huyo mwanamama na pia sidhani kama huo ukubwa uliokuwa nao unaweza kuwa ni rekodi hata hapa Tanzania.

Lakini kwa kuwa yote hayo umeyafanya juu ya mwili wako na matakwa yako binafsi, basi sawa sisi yetu macho tu kusoma uandikacho.
Sijasema uzito wa ziwa ni kilo 40, huo ni mzunguko wa mkanda wa bra na G ndio size ya nyonyo. Nimeeleweka nadhani
 
badiebey

badiebey

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Messages
5,888
Likes
485
Points
180
badiebey

badiebey

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2013
5,888 485 180
Last time ulipoweka uzi wako kama sikosei niliandika kuwa mwanamke mwenye kushikilia rekodi ya dunia kwa kuwa na maziwa makubwa, titi lake moja tu ni kilo 25.

Sasa sidhani kama umemzidi huyo mwanamama na pia sidhani kama huo ukubwa uliokuwa nao unaweza kuwa ni rekodi hata hapa Tanzania.

Lakini kwa kuwa yote hayo umeyafanya juu ya mwili wako na matakwa yako binafsi, basi sawa sisi yetu macho tu kusoma uandikacho.
ayayayaya,seriously 25 kg??? thts 50 kg on a chest eh Yesu,thanks for my 33 size,ht km nkiwa na watoto cdhan km itafika mbal sana,mana dahh
 
badiebey

badiebey

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Messages
5,888
Likes
485
Points
180
badiebey

badiebey

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2013
5,888 485 180
Duh!
Umekata kizazi na umepunguza nyonyo!!
Purukushani zote hizo ili uonekane mzuri tu????????
Mmmh haya bhana!
muwachen alale jmn,mwanamke uzuriii,wawili wamemtosha,binafsi Mungu akinijalia 3 is the max,
 
A

Ave Ave Maria

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2011
Messages
10,752
Likes
47
Points
0
A

Ave Ave Maria

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2011
10,752 47 0
Hongera yako kwakweli.....
Mwenyezi Mungu akuhurumie na akusaidie pia visije kukuletea matatizo mbeleni.

All the best!
 
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Messages
47,719
Likes
3,398
Points
280
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2010
47,719 3,398 280
Sijasema uzito wa ziwa ni kilo 40, huo ni mzunguko wa mkanda wa bra na G ndio size ya nyonyo. Nimeeleweka nadhani
Unaonekana ni mgumu sana kuelewa wewe...

Sasa kwa mawazo yako unadhani titi la kilo 25 litabebwa na mkanda wenye mzunguko mdogo kuliko huo ulioutaja?
 
Hornet

Hornet

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Messages
15,707
Likes
14,098
Points
280
Hornet

Hornet

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2013
15,707 14,098 280
Mmmhh mie nawaza mkopo niendeleze haka kagenge kangu,wenzangu wanatengeneza manyonyo lol!..
Btw its good for you jaman..una girlish look again..
 
Forum statistics

Threads 1,251,632
Members 481,811
Posts 29,778,341