Mapumziko Baada ya Harusi (Honeymoon)

Mapumziko Baada ya Harusi (Honeymoon)

MAN OF CHANGES

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2011
Posts
507
Reaction score
191
Natafuta hoteli,lodge nzuri iliyo nje ya mji kbs moja ya mikoa hii, arusha, mwanza au bukoba kwa ajili ya mapumziko baada ya harusi (honeymoon) . Plz mwenye taarif za kunisaidia ikiwa ni pamoja na jina laa hapo mahali na gharama ntashukuru.
 
Arusha nenda Mount Village Serena hotel ipo maeneo ya Tengeru kwa malipo halali ya kama dola 200 hivi fullbord
 
Mwanza nenda Malaika beach resort ukale sato, usisahau kukata ticket ya fast jet mapemaa..
 
Back
Top Bottom