Yaani mnatuvumilia kuanzia tunapowatoa out mpaka kitandani...ngoja niliongelee hili la out. Unakuta jamaa katoa ofa kwa mdada..mnakula mnakunywa alafu bill ikija jamaa anaanza kutoa macho na...
Kuna jamaa alivamia mtaani kwetu na vijiela ela vyake, sasa kama kawaida ya dada zetu wakaanza kumshobokea na jamaa mashallah alikuwa muongaji mzuri.
Kama unavyojua dada zetu kwa kuambizana...
Habari wanaJF! Umri wangu ni 32yrs, Fani inayoniweka town ni Udereva, Elimu ni ya kidato cha 4 (passed), Makazi Tegeta (nimepanga), Uraia mTZ, Maritor status Single. HITAJI: Marafiki waaminifu wa...
Habari zenu wana MMU
Ilikuwa tarehe 09/12/2014 nilipo andika thread yangu yenye kichwa "YALIO NIKUTA KWENYE DALADALA" baada ya kupigwa vibao viwili vya mkononi na kufokewa na dada mmoja kwa madai...
Salaam,wana MMU
Mke wangu yupo kwenye mtanziko, tarehe 16 mwezi huu alifunga kizazi baada ya kushauriwa na madaktari kutokana na kufanyiwa upasuaji mara 3 wakati wa kujifungua. Kuna watu wa...
Wanajamvi hakuna mzaha.
Awe na miaka 30 mpaka 43! Sihitaji anizalie nna watoto wawili wanantosha! Awe mnene mwenye mgongo ambao kila ntakapokuwa nae hata wanawake wenzake watatamani hilo tako...
kama kichwa kinavyosema. elimu at least form 4, dini yeyote. upole na ukarimu ni added advantages. mi ni 27 yrs old. mkristo. naweza kukutunza, kukugegeda, kukupenda na kukulinda. ambaye yuko...
Natafuta Mke wa kuwa nae kama KAKA na DADA umri wowote ule.Mimi umri wangu nina miaka 45,niko serious na nina nia ya dhati na thabiti,MWANAMKE yoyote aliye na utayari tafadhali PM au tuwasiliane...
Sikuwahi kujua mahakama ina nguvu hivi
naona wenye kuijua wanaitumia vizuri majuzi nimesoma chama kimoja wamepeleka maombi kuomba marudio ya serikali za mitaa yasifanyike tena
tena kwenye pap n...
Habari wana Jamiiforums ni mvulana umri 28, naishi kibaha,ni graduate bado sja ajiriwa, ila kuna sehem najitolea, natafuta mke wakuoa elimu form 4-masters, awe wakawaida sina ubaguzi wa kabila...
ni graduate wa uhasibu ktk chuo kichopo tz,natafuta kazi yeyote ile nitafanya.Mtazamo Wangu Nikukuza Nakuboresha Kampuni Au Tasisi Ili Iwe Ya Viawango Nakuongeza Uzalishaji,ni Team Work...
Idadi kubwa ya binadamu siku hizi wanatumia condoms.
SWALI: (1)Je magonjwa niliyoyataja hapo juu yapo au yameshatokomea kama ugonjwa wa ndui?
(2)Kama yapo ni nini...
Katika hali ya kawaida na iliozoeleka katika jamii ni hili swala la wanume kupendelea kuoa au kuwa na wachumba wenye umri mdongo,, wanawake uwezo wao wakufikiri ni mkubwa kwa uhalisia, lakini wana...
jamani watanzania wenzangu tujengeni taifa lenye nguvu kupitia kizazi vyetu kwa kuoa au kuolewa na watu warefu,
Watu wafupi ni wavivu sana tuwaache waoane wao kwa wenyewe tena ikibindi...
Baada ya utafiti wetu maeneo mbalimbali, tuliwaita wafanyabiashara hasa wenye nyumba za wageni na kumbi za starehe, tukawaeleza hali halisi ya maambukizi mapya ya Ukimwi na kasi ya wagonjwa...
Utaukanaje uzee wako? Utaukataaje? Tena mchana kweupe? Uzee mwisho wake ni kifo na sio chalinze! Pale panaitwa Chalinze Mzee full stop!
Utajifarijije kuwa uzee mwisho chalinze wakati tayari jua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.