Hiyo inaitwa white marriage. Yani marriage bila tendo la ndoa. Kuna watu wameshaumizwa za dhuluma za mapenzi huko nyuma kama Oprah so hawajisikii kushiriki tendo la ndoa au wengine wana magonjwa kama UKIMWI hivyo hawako tayari kuendelea kushiriki tendo la ndoa, ihali wengine hawa function, still watu kama hawa wanahitaji kampani ya mwenzi wa maisha kama couples bila kushiriki tendo... Msibeze. Kila mtu anaelezea hisia zake na kile anachotaka. Maadam hajataka kitu kibaya, basi msaidieni kutimiza ndoto zake za maisha ili naye maisha yake yaliyobaki hapa duniani yawe ya raha na furaha. I hope atampata mtu wa aina hiyo...