Nahitaji Marafiki wa Ukweli

Nahitaji Marafiki wa Ukweli

Second Fiddle

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2014
Posts
469
Reaction score
122
Habari wanaJF! Umri wangu ni 32yrs, Fani inayoniweka town ni Udereva, Elimu ni ya kidato cha 4 (passed), Makazi Tegeta (nimepanga), Uraia mTZ, Maritor status Single. HITAJI: Marafiki waaminifu wa jinsia zote wa kubadilishana mawazo. Namba.0783299690. Karibuni.
 
Inamaana umeshindwa kuwapata hao uliokaribu nao, utawaweza wa mbali?
Jiran yako ndio rafik yako na ndio ndg yako....
Labda kama ni geresha yya kuwapata mabint sawa.
 
Inamaana umeshindwa kuwapata hao uliokaribu nao, utawaweza wa mbali?
Jiran yako ndio rafik yako na ndio ndg yako....
Labda kama ni geresha yya kuwapata mabint sawa.

Marafiki wapya huleta mawazo mapya! Karibu sana!
 
Habari wanaJF! Umri wangu ni 32yrs, Fani inayoniweka town ni Udereva, Elimu ni ya kidato cha 4 (passed), Makazi Tegeta (nimepanga), Uraia mTZ, Maritor status Single. HITAJI: Marafiki waaminifu wa jinsia zote wa kubadilishana mawazo. Namba.0783299690. Karibuni.

Rafiki wa kweli ni BIA ya Tusker.
 
Karibu Hata mom hua nahitaji rafiki Watu kama age zenu maana kwa vijana muda mwingi tutaongelea mabint bila kujenga future
 
Karibu Hata mom hua nahitaji rafiki Watu kama age zenu maana kwa vijana muda mwingi tutaongelea mabint bila kujenga future

Karibu sana rafiki wa ukweli tushirikiane kulijenga taifa! Namba zangu zipo hapo juu, anytime unaweza nipigia au kunisms cuz am looking 4 active friends!
 
Mmmmmmh,,,unajitahidi kujibu kwa ustaraabu,,,,hongera dereva,,
 
Mmmmmmh,,,unajitahidi kujibu kwa ustaraabu,,,,hongera dereva,,

Thanx mr.ITEZI kwa kunitathmin positively! Kama ujuavyo maisha ni watu, na whats goes around ...! Maisha ni safari ndefu sana nduguyangu, nobody knows what comes of tomorrow!
 
Kwani sasa ulionao maadui?

Hakuna anayependwa na kila mtu! Wengine watakuchukia tu kisa umependwa na wengi! Sometimes huwa najiuliza hivi upendo ni hasa? Maana kuna mwingine akikupenda haoni hatari kukuudhi ili tu akuone ukikasirika unakuwaje!! Nilionao si maadui ila most of them upendo wao haujaenda shule! They dont wanna c u change! Cuz they knew u as driver since 2decades ago,they wanna c u a driver til u die! How can u judge such kind of people? Friends?
 
Hata mimi nahisi nahitaji marafiki wapya sasa hivi!
Ila kashfa ya escrow imenitisha kidogo.
 
Back
Top Bottom