ras mkweli JF-Expert Member Joined Mar 12, 2012 Posts 280 Reaction score 105 Dec 22, 2014 #1 Wanawake kubeba vyuma, kujifunza kareti na judo kunaweza kuwa msaada kwao kujikinga na uhalifu mbalimbali ikiwemo ubakaji ?
Wanawake kubeba vyuma, kujifunza kareti na judo kunaweza kuwa msaada kwao kujikinga na uhalifu mbalimbali ikiwemo ubakaji ?
luckyline JF-Expert Member Joined Aug 29, 2014 Posts 15,150 Reaction score 21,802 Dec 22, 2014 #2 ras mkweli said: Wanawake kubeba vyuma, kujifunza kareti na judo kunaweza kuwa msaada kwao kujikinga na uhalifu mbalimbali ikiwemo ubakaji ? Click to expand... huyu ni kute ikwenye ile tamthilia ya be carefull with my heart
ras mkweli said: Wanawake kubeba vyuma, kujifunza kareti na judo kunaweza kuwa msaada kwao kujikinga na uhalifu mbalimbali ikiwemo ubakaji ? Click to expand... huyu ni kute ikwenye ile tamthilia ya be carefull with my heart
Z Zion Daughter JF-Expert Member Joined Jul 9, 2009 Posts 8,920 Reaction score 4,244 Dec 22, 2014 #3 Ni afya tu.Chuma ni mazoezi mazuri kukata weight
Kaveli JF-Expert Member Joined Dec 4, 2012 Posts 5,479 Reaction score 9,020 Dec 22, 2014 #4 akibeba vyuma si atakuwa 'baunsa'?!! karate and other light workouts ndo vinafaa kwa mwanamke pia. Mambo hayo ya vyuma watuachie wanaume tu
akibeba vyuma si atakuwa 'baunsa'?!! karate and other light workouts ndo vinafaa kwa mwanamke pia. Mambo hayo ya vyuma watuachie wanaume tu