Leo asubuhi nikiwa stand ya mabasi nakata tiketi mdada mmoja wakati anapanda kwenye kagari kake akadondosha simu nikamuita ili nimweleze kilichotokea, akanisonya tena msonyo wa dharau...
Wana MMU, naomba kuuliza.
Kama mke wangu anashindwa kunipa mapenzi kwa kiwango na ufundi (mambo ya 6 kwa 6 ) na nikimfundisha hataki au ananijibu mkato mkato, mtu gani ninayeweza kumshitakia ili...
Tumbuke siku zote:-
KUPENDA ni gharama. Usiogope wala kusita kugharamika kwa ajili ya yule UMPENDAE.
KUPENDA ni kujitoa (KU-SACRIFICE) tena maisha yako yote. Usisite kujitoa kimwili, kiroho...
Umri wangu miaka 41 nina shughuri binafsi za kuniingizia kipato, naye pia awe mwajiriwa au shughuri yoyote halali ya kumwingizia kipato.Umri wake miaka 45-60 alitayari aniPM KWA WALIO SERIOUS TU
Siku moja niliitwa na huyu shemeji yangu kwenda kuangalia kadi za mualiko wa harusi.Nilipofika nyumbani kwao(wakwe) nilistuka kumkuta peke yake akiwa kavaa kanga moja tu, hizi kanga za india...
Hello everyone,Collins here just looking for people to talk to,good friends out there that we can atleast share experience,advices and my support if I'm at a position regardless of gender or...
Mimi ni mdada nina miaka 31 nipo Dsm natafuta mpenzi nimechoka kuwa single, awe na kipato cha kueleweka umri kuanzia miaka 35 na kuendelea asiwe mume wa mtu mi nafanyakazi.
Habari wadau kuna rafki yangu mmoja ni kijana mdogo tu sasa baba yake kamlazimisha kuoa hiyo ilikuwa ni mwezi wa 6 mwaka huu dogo kajitahidi kugoma lakini mshua kalazimisha, ilifikia familia yote...
Habar za jioni wapendwa, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 nimetokea kumpenda binti fulani kiukweli tunapendana sana nahitaji kumwoa lakini kikwazo ni mahali, mama mkwe wangu anahitaji mahali...
1.Mimba zipunguzwe miezi,badala ya miezi 9 iwe 4.
2.Nauli ya kwenda south Africa iwe bure coz ni mteremko.
3.Sukuma wiki ichunguzwe why haiwezi kusukuma mwezi au mwaka.
4.Siku za mwizi ziwe walau...
Habari wana JamiiForums.
Katika uchunguzi wangu nilikokafanya hadi leo hii nimekuja kukonkludi kuwa. Wale wadada wakishua yaani fulu mashauzi, linapokuja suala la kitandani wako poor kabisa...
Naishi dar ila kwa sasa niko home tarime mara na nitakaa zaidi ya miezi sita.natafuta mpenz wa kunipa faraja kutoka tarime.au hata kama una rafiki yako huku unaweza niunganisha nae
Mimi ni mwanaume miaka 29 naishi kanda ya ziwa nimeajiliwa na elimu yangu ni chuo kikuu, Najitokeza hapa kutafuta Mwanamke umri miaka 20-26 tu, awe na elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea...
Wajemeni habari za weekend!
Fikiria wewe ni mvulana na unaishi kwa dada yako na shemeji yako mnaelewana vizuri tu, hana shida na wewe ila ametofautiana na dadako na kuchukua uamuzi wa kumfukuza...
Naomba ushauri:
Wengi wanadhani nimependa kuwa hivi au tunaopenda wenzetu wa jinsia moja tumetaka,La hasha!
Mimi ni mrembo sana,kuanzia sura,umbo,nina akili lakini pia nimekuzwa familia ya dini...
Bila shaka mtakuwa mpo wazima kuna tatizo linanitatza sana nimeleta kwenu mnipe mawazo cha kufanya.
Nina girlfriend wangu tupo muda mrefu sana na nina malengo, baada ya kumaliza chuo alikuwa...
Huwa inauma sana. Hasa kwa mwanamke. Anajitunza na kujisitiri ujana wake wote, anavumilia vishawishi vingi akisubiri wakati muafaka wa kumpata yule anayestahili kuwa naye katika safari nzima ya...
Mimi ni kijana wa miaka 35, Nimejiajiri, na nayamudu maisha yangu.
Kipato changu ni cha wastani na nashukuru maisha yangu si mabaya.
Natafuta mwanamke mwenye umri huo, mwenye moyo mpweke...
Mapenzi ni sanaa na kila mtu ana ulevi wake katika mapenzi.kwa dhati toka moyoni mimi hupenda sana kudate na wanawake watu wazima!!hivyo basi kwa mwanamke yoyote wa makamo anayeishi MOSHI AU...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.