Biashara ya ngono yatikisa Moro-2

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,891
6,902
ngono.jpg

“Baada ya utafiti wetu maeneo mbalimbali, tuliwaita wafanyabiashara hasa wenye nyumba za wageni na kumbi za starehe, tukawaeleza hali halisi ya maambukizi mapya ya Ukimwi na kasi ya wagonjwa wapya, lakini hali ikawa ni ileile na wenye dhamana ya kuwafutia leseni wafabiashara wa kumbi za sterehe wamekaa kimya licha ya kuwasilisha ripoti yetu. Pia, ni kweli kwamba kumbi hizo zinachangia kufuga machagundoa,” anasema Mbiaji.

Anasema kuwa mbali na kumbi za sterehe kuficha kundi hilo kwa nyakati zote za mchana na usiku, lakini makahaba, machangudoa na mashoga kwa nyakati tofauti wamekuwa wakiitaka Serikali iwatambue.

“Kwanza machangudoa na mashoga wanataka Serikali itunge sheria za kuwatambua ili wasinyanyapaliwe jamii wa tabia zao, hata madaktari wanapohitaji matibabu kwa kuumizwa wakati wa ngono, kuingiliwa kinyume cha maumbile au kupata maambukizi ya Ukimwi,” alisema naibu meya huyo mstaafu.

Licha ya kutaka Serikali itunge sheria za kuwatambua pamoja na shughuli zao, wanaitaka pia inunue (vilainishi), mafuta maalumu na kondomu maalumu kwa kazi hiyo, ili wavitumie kwa lengo la kuepuka kuumia wakati wa kutoa huduma kwa wateja wao.

Mbiaji anafichua siri za mashoga na machangudoa akisema kwamba siku za Jumamosi, Jumapili na sikukuu zimekuwa za shida kwao kutokana na kukosa wateja wa uhakika kutokana na wateja wao ambao ni wanaume wa watu kutokwenda kazini kukosa mapato ya kutosha.

Manispaa kudhibiti

Kwa upande mwingine Manispaa ya Morogoro ilifanya jitihada kuyatambua makundi ya machangudoa na mashoga, kisha kuyashauri kuachana na kazi hiyo ikiwaeleza kuwa ipo tayari kuwapa mikopo ya riba nafuu ili wafanye biashara halali.

Siyo hivyo tu, bali manispaa hiyo pia iliwaomba wamiliki wa kumbi za sterehe kusaidia kushawishi makundi hayo kuachana na kazi hiyo na kujiingiza katika biashara halali za ujasiriamali, jambo ambalo hata hivyo halikufanikiwa.

“Wazazi nao wanapaswa kuwa makini na malezi ya watoto wa jinsi zote hasa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari kwa kuwadhibiti ili wasizurure ovyo na kutumia mwanya huo kuiga tabia chafu za uchangudoa, ushoga na matumizi ya dawa za kulevya,” anasema Mbiaji.

Anaongeza: “Kinachoumiza zaidi ni wanafunzi wa shule za msingi kujiingiza katika biashara hiyo. Tayari nao wameingia rasmi kwenye biashara ya ngono kutokana na dada zao wa sekondari kujiingiza.”

Mbiaji anasema kuwa manispaa iliunda kamati kufuatilia makundi yaliyovamia mjini humo na kutoa mapendekezo ya kufutiwa leseni za biashara kwa kumbi za sterehe zilizokiuka taratibu na sheria za nchi, lakini wenye mamlaka na suala hilo wamekaa kimya na tatizo kuendelea kukua siku hadi siku.

“Kazi ya kuyatambua makundi hayo ilifanyika kwa upelelezi wa hali ya juu na ilishirikisha viongozi wanne wa dini za Kiislamu na Kikristo, madiwani watatu, watendaji watatu wa halmashauri nami nikaongoza jahazi.
“Watu waliotuona walishindwa kutofautisha kwani wanawake wote tulivaa nguo fupi, tulivaa kihuni ili kulingana na uhalisia na mienendo ya machangudoa. Katika msafara huo wanaume walijifananisha na tabia za mashoga,” anasema Mbiaji.

Anafafanua zaidi akisema: “Mambo ya aibu yalionekana katika vyumba vya makahaba. Tulishuhudia wanaume wanne na wanawake wanne wakiwa chumba kimoja, vitanda viwili wakifanya yao tuliingia humo kwa kulipia fedha mlangoni, Sh1,000.

Mwenyekiti

Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Mwanzomgumu, Kata ya Mwembesongo, Manispaa ya Morogoro, Saidi Omari Kamba (66) anasema kuwa biashara ya ukahaba ipo katika mtaa wake eneo la Msamvu Itigi na kwamba sasa biashara hiyo inatimiza mwaka wa pili.

Kamba anasema kuwa taarifa za wanawake hao kufanya biashara ya ngono zimefika katika ofisi yake kutoka kwa wazazi waliolalamikia tabia za machangudoa hao kuwa ni kero hasa kwa sababu wanaenda kinyume na maadili huku wakiwa jirani na makazi ya watu yanayojumuisha watoto ambao ni rahisi kuiga tabia hizo.

“Baada ya kupata taarifa za uwepo wa makahaba, nilifanya uchunguzi na kubaini ukweli. Kingine nilichoelezwa ni kwamba kuna tetesi za wanawake hao kupangisha moja ya nyumba na kulala mchana, lakini giza likiingia hujisogeza eneo la Msamvu Itigi na kuanza kuuza miili yao kwa wanaume lengo likiwa kupata ujira wa fedha,” anasema Kamba.

Anaeleza kuwa miaka ya nyuma kulikuwa na kundi kama hilo, lakini lilikuwa limejisitiri katika nyumba maalumu na athari zake zilikuwa ndogo tofauti na sasa, ambapo wanawake hao wamekuwa wakiuza miili yao eneo la wazimida ambayo watoto wanakuwa hawajalala.

“Tumefanya vikao vingi na wazazi kuhusu namna ya kuwaondoa wanawake hao, lakini Serikali ya Mtaa haina ubavu wa kuwaondoa. Suala hili tumelifikisha katika ngazi za juu, lakini nao wamekaa kimya na kero imebakia kupokea malalamiko kila kukicha kutoka kwa wazazi,” anasema Kamba.

Mfanyabiashara wa kwanza

Leonard Mwofuga mfanyabiashara aliyejenga kibanda cha biashara eneo la Msamvu mwaka 2000, anaeleza historia ya eneo la Msamvu Stendi na jinsi machangudoa walivyovamia akisema kuwa Februari mwaka 2000, alianza kuweka kibanda cha biashara eneo hilo baada ya Serikali kuhamisha stendi kuu ya mabasi yaendapo mikoani kutoka katikati ya mji kwenda Msamvu, ambao sasa panajulikana kama Msamvu Itigi.

Kabla ya stendi kuhamishiwa Msamvu, eneo hilo lilivuma kwa majina ya tofauti likiwamo Msamvu kwa Mela, Msamvu kwa Lupilo, Msamvu Highway, Msamvu BP, lakini majina hayo yalipungua nguvu tangu mwaka 2012, baada ya mfanyabiashara mmoja wa vinywaji kuhamia eneo hilo na kundi la machangudoa na mashoga kutoka katikati ya mji.

Mwofuga anasema: “Eneo hili lina karaha ya kila aina, hasa jua linapozama kwani utashuhudia utitiri wa machangudoa na mashoga wakianza kutanda kando ya malori na nguo zao za nusu utupu, wakiwasubiri wanaume kuwachukua na kwenda kufanya nao ngono.

Anasema kuwa kutokana na hali hiyo, eneo hilo huzagaa ovyo mipira ya kiume, huku wafanyabiashara wakikosa wateja wa kununua bidhaa za wafanyabiashara maeneo hayo, hasa wale viongozi wa serikali na watu wanaojiheshimu kwa kukwepa fedheha katika eneo hilo.

“Mwandishi kama utapata muda, wewe njoo eneo hili la Itigi hapa Msamvu saa 4 usiku utaona mwenyewe kinachofanyika na utakiri niliyokueleza kuwa yote yana ukweli. Hapo nyuma kuna vibanda vinavyotumiwa na machangudoa wa bei ya chini na wale wenye machangudoa wenye kiwango cha juu humpeleka mteja wao katika vyumba vya kulala wageni katika eneo hilo hilo,” anasema Mwofuga.

Uchunguzi uliofanywa na gazeti hili kwa miezi mitatu mfululizo umebaini wanaume wanaofika eneo hilo la Msamvu Itigi hutozwa viwango tofauti vya fedha kwa huduma ya ngono kulingana na aina ya changudoa ambao wamegawanyika katika makundi mawili.

Makundi hao ni yale yanayotoa huduma ya ngono ya kuanzia Sh2,000 hadi Sh4,000 na mteja akilazimika kuingizwa katika kibanda ili akidhi haja zake katika godoro lililotandikwa chini ya ardhi, huku mmiliki wa kipanda hicho akimtoza changudoa Sh1,000 kwa kila mteja atayeingia naye kwenye vibanda vilivyopo nyuma vya wafanyabiashara wa chakula na vinywaji.

Kundi la pili ni la machangudoa wa hadhi ya juu ambao hutoza Sh5,000 na zaidi kisha kumpeleka mteja katika vyumba vya kulala wageni iliyopo eneo hilo.

Hata hivyo, hatari wanayoweza kukumbana nayo wateja wa machangudoa na makahaba hao ni iwapo watagundulika kuwa na pesa na vitu vya thamani kwani anaweza kudhuriwa kwa kuwekewa dawa za kulevya wakitumia mbinu za kiulaghai ikiwamo kulazimisha kunyonywa matiti yake kabla ya kufanya ngono.

Masheikh wazungumza

Mjumbe wa Baraza la Masheikh Mkoa wa Morogoro, Sheikh Ally Omari Ngarawa anaeleza kuwa kwa nafasi yake ya uongozi wa dini ya Kiislamu alisikia taarifa hizo baada ya kuhudhuria mchezo wa dhumna uliochezwa eneo la Soko Kuu la Mkoa wa Morogoro.

Ngarawa anasema kuwa ni jambo la aibu kwa viongozi kufumbia macho na kuwaacha makahaba wakiendelea kufanya biashara ya ngono kwa zaidi ya miaka miwili sasa katika manispaa hiyo.

“Siku moja nilisikia wanamichezo wa mchezo wa dhumna wakiongea juu ya biashara ya ngono Itigi, lakini nilishtuka na kutega sikio kusikia maneno hayo na sikuweza kuchangia mada hiyo bali nilichofanya ni utafiti kwa wiki mbili na nilibaini ukweli huo,” anasema Ngarawa.

Anaongeza: “Ni kweli ngono inafanyika, tena bila kificho. Mwanamume akifika eneo hilo huchagua mwanamke anayependezwa naye na kupatana bei ambayo ni kati ya Sh3,000 hadi Sh5,000. Wakati mwingine hufikia Sh10,000 hii hutokana na matakwa ya mteja husika.”

Kwa mujibu wa sheikh huyo ambaye ni mwakilishi wa Sheikh wa Mkoa wa Morogoro, lengo la kufanya utafiti huo lilikuwa kufikisha ujumbe kwa waumini wa Dini ya Kiislamu nyakati za ibada, hasa Ijumaa ambapo hufika msikitini kwa wingi na kutoa mahubiri mara nne kwa mwezi moja.

Polisi

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro (RPC), Leonard Paulo anasema: “Unataka kufahamu juhudi za Jeshi la Polisi katika kuinusuru jamii na maporomoko ya maadili kwa jamii zinazozungukwa na kumbi za starehe, nalifanyia kazi nami nijiridhishe ili nikupe taarifa sahihi kwa lengo la kuelimisha jamii.”

Rais Kikwete

Akihutubia wananchi wa Mkoa wa Morogoro katika Uwanja wa Jamhuri mapema mwaka huu, Rais Jakaya Kikwete alieleza kuwa ugonjwa wa Ukimwi unatafutwa na siyo ugonjwa wa bahati mbaya.
 
Eneo jingine ni pale mjini kabisa karibu na office ya Aboud, kuna ndugu yangu aliniambia uje ushuhudie nilishindwa kustahimimi hata kwa dakika tano, kuna guest ambazo ni makazi rasmi ya makahaba na wamiliki wanachojali ni pesa zao si kuharamisha biashara hiyo.
 
aisee, kweli wanaharibu mji jamani.
Moro hakukuwa na mambo hayo kabisaaa, na kama wameanza makahaba basi na vibaka watajaa muda si mwingi.
Hizo kazi huwa zinashabihiana.
 
Kuna mitaa ya kahumba na Itigi pamoja na samakisamaki huko kuna malaya wa umwaga.
Yaan mwanamke anatembea uchi a mnyama
 
SHERIA: Watu, unashtakiwa kosa la kueneza VVU.
WATU: (anatetemeka)
VVU: Usihofu Watu,najua dawa ya sheria
PESA: Kaa kimya sheria
SHERIA: ok bosi
VVU: I told you,I'll calm him down.
^^
 
aisee, kweli wanaharibu mji jamani.
Moro hakukuwa na mambo hayo kabisaaa, na kama wameanza makahaba basi na vibaka watajaa muda si mwingi.
Hizo kazi huwa zinashabihiana.

Wateja walengwa kwa kiwango kikubwa kwa makahaba ni wasafiri kama madereva wa magari makubwa na sehemu ambayo wasafiri wengi hupatikana, hivyo kinachofanya biashara hiyo kushamiri huko ni kutokana na demand and supply, demand ni hao madereva wa malori, mabasi nk ndio maana supply ya makahaba inashamiri.
 
kaumba noma balaa wakuu,yani watu wanato.mba.na mchana kweupee bila shid wala woga wowote
 
Eneo jingine ni pale mjini kabisa karibu na office ya Aboud, kuna ndugu yangu aliniambia uje ushuhudie nilishindwa kustahimimi hata kwa dakika tano, kuna guest ambazo ni makazi rasmi ya makahaba na wamiliki wanachojali ni pesa zao si kuharamisha biashara hiyo.

Nashangaa watafiti wameisahau KAHUMBA wakati pale kabla jua halijazama washaanza kupanga foleni ya kuuza papuchi.
Pili kwenye tafiti zao wametaja makundi ya watoto shule za msingi na sekondari ndio wanaojihusisha na biashara hiyo wamesahau kundi kubwa la wanafunzi wa vyuo vikuu hususan SUA, JORDAN, MZUMBE na MUM wanajiuza sana nyakati za usiku na pia wanunuzi wakubwa ni wale wale wanachuo.
 
Umesahau pale uwanjani kona ya makabur ya kilakala kuna baa (matako bar) inajulikana hivyo. Pale napo ngono nje nje jaman!!!!!
 
Kuna mitaa ya kahumba na Itigi pamoja na samakisamaki huko kuna malaya wa umwaga.
Yaan mwanamke anatembea uchi a mnyama

Yule mmliki wa samaki samaki anaitwa FUJO, nilikuta totozi pale za hatari, mii nikajua watoto wa chuo, fujo akanambia hao ni "wajasiriamali"
 
kwa wale woote wanaoshinda maeneo kama sinza kutafuta wadada wa kuwararua najitahidi kuwarahisishia huduma
nataka nianzish webste ambayo iakua na infoza hawa wadada n jinsi utawapata

>>>>> facebook pge iko hapa https://www.facebook.com/nunuamalayahapa \

wadada mnaojiuza nitumieni email zenu hapa niwapost for free charges

private.thing50@gmailcom

tafadhalaca infption zako na uptikanji wako
 
Dah kweli hii nayo ni fursa
 
Kama ni kweli Mheshimiwa Raisi amesema kuwa ugonjwa wa ukimwi unatafutwa na sio wa bahati mbaya, inaonekana haujui ugonjwa wa ukimwi na atakuwa amewatukana baadhi ya watu wenye matatizo hayo. Ugonjwa ukimwi si lazima uwe mzinzi uupate kuna wengi wameupata kwa bahati mbaya kwa kuwekewa damu yenye virusi kimakosa hospitalini kwa bahati mbaya na wengine wameenda hospitali na kwa uzembe wa wahudumu wa hospitali wametumiliwa vyombo sio visafi havijachemshwa inavyotakiwa. Kuna njia nyingi mtu anaweza pata ukimwi kwa bahati mbaya ni kosa kubwa kusema wanaufuata makususudi, wengine wanazaliwa nao wakiwa wachanga hau wameufuata wapi? Tusitake kuwaona wote wenye ukimwi ni malaya au wazinzi wameutaka wenyewe tuwatenge, inawezekana wewe au nikakumbwa na janga na ukuvaa kwa bahati mbaya bila kujijua tumeupataje.

ngono.jpg

"Baada ya utafiti wetu maeneo mbalimbali, tuliwaita wafanyabiashara hasa wenye nyumba za wageni na kumbi za starehe, tukawaeleza hali halisi ya maambukizi mapya ya Ukimwi na kasi ya wagonjwa wapya, lakini hali ikawa ni ileile na wenye dhamana ya kuwafutia leseni wafabiashara wa kumbi za sterehe wamekaa kimya licha ya kuwasilisha ripoti yetu. Pia, ni kweli kwamba kumbi hizo zinachangia kufuga machagundoa," anasema Mbiaji.

Anasema kuwa mbali na kumbi za sterehe kuficha kundi hilo kwa nyakati zote za mchana na usiku, lakini makahaba, machangudoa na mashoga kwa nyakati tofauti wamekuwa wakiitaka Serikali iwatambue.

"Kwanza machangudoa na mashoga wanataka Serikali itunge sheria za kuwatambua ili wasinyanyapaliwe jamii wa tabia zao, hata madaktari wanapohitaji matibabu kwa kuumizwa wakati wa ngono, kuingiliwa kinyume cha maumbile au kupata maambukizi ya Ukimwi," alisema naibu meya huyo mstaafu.

Licha ya kutaka Serikali itunge sheria za kuwatambua pamoja na shughuli zao, wanaitaka pia inunue (vilainishi), mafuta maalumu na kondomu maalumu kwa kazi hiyo, ili wavitumie kwa lengo la kuepuka kuumia wakati wa kutoa huduma kwa wateja wao.

Mbiaji anafichua siri za mashoga na machangudoa akisema kwamba siku za Jumamosi, Jumapili na sikukuu zimekuwa za shida kwao kutokana na kukosa wateja wa uhakika kutokana na wateja wao ambao ni wanaume wa watu kutokwenda kazini kukosa mapato ya kutosha.

Manispaa kudhibiti

Kwa upande mwingine Manispaa ya Morogoro ilifanya jitihada kuyatambua makundi ya machangudoa na mashoga, kisha kuyashauri kuachana na kazi hiyo ikiwaeleza kuwa ipo tayari kuwapa mikopo ya riba nafuu ili wafanye biashara halali.

Siyo hivyo tu, bali manispaa hiyo pia iliwaomba wamiliki wa kumbi za sterehe kusaidia kushawishi makundi hayo kuachana na kazi hiyo na kujiingiza katika biashara halali za ujasiriamali, jambo ambalo hata hivyo halikufanikiwa.

"Wazazi nao wanapaswa kuwa makini na malezi ya watoto wa jinsi zote hasa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari kwa kuwadhibiti ili wasizurure ovyo na kutumia mwanya huo kuiga tabia chafu za uchangudoa, ushoga na matumizi ya dawa za kulevya," anasema Mbiaji.

Anaongeza: "Kinachoumiza zaidi ni wanafunzi wa shule za msingi kujiingiza katika biashara hiyo. Tayari nao wameingia rasmi kwenye biashara ya ngono kutokana na dada zao wa sekondari kujiingiza."

Mbiaji anasema kuwa manispaa iliunda kamati kufuatilia makundi yaliyovamia mjini humo na kutoa mapendekezo ya kufutiwa leseni za biashara kwa kumbi za sterehe zilizokiuka taratibu na sheria za nchi, lakini wenye mamlaka na suala hilo wamekaa kimya na tatizo kuendelea kukua siku hadi siku.

"Kazi ya kuyatambua makundi hayo ilifanyika kwa upelelezi wa hali ya juu na ilishirikisha viongozi wanne wa dini za Kiislamu na Kikristo, madiwani watatu, watendaji watatu wa halmashauri nami nikaongoza jahazi.
"Watu waliotuona walishindwa kutofautisha kwani wanawake wote tulivaa nguo fupi, tulivaa kihuni ili kulingana na uhalisia na mienendo ya machangudoa. Katika msafara huo wanaume walijifananisha na tabia za mashoga," anasema Mbiaji.

Anafafanua zaidi akisema: "Mambo ya aibu yalionekana katika vyumba vya makahaba. Tulishuhudia wanaume wanne na wanawake wanne wakiwa chumba kimoja, vitanda viwili wakifanya yao tuliingia humo kwa kulipia fedha mlangoni, Sh1,000.

Mwenyekiti

Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Mwanzomgumu, Kata ya Mwembesongo, Manispaa ya Morogoro, Saidi Omari Kamba (66) anasema kuwa biashara ya ukahaba ipo katika mtaa wake eneo la Msamvu Itigi na kwamba sasa biashara hiyo inatimiza mwaka wa pili.

Kamba anasema kuwa taarifa za wanawake hao kufanya biashara ya ngono zimefika katika ofisi yake kutoka kwa wazazi waliolalamikia tabia za machangudoa hao kuwa ni kero hasa kwa sababu wanaenda kinyume na maadili huku wakiwa jirani na makazi ya watu yanayojumuisha watoto ambao ni rahisi kuiga tabia hizo.

"Baada ya kupata taarifa za uwepo wa makahaba, nilifanya uchunguzi na kubaini ukweli. Kingine nilichoelezwa ni kwamba kuna tetesi za wanawake hao kupangisha moja ya nyumba na kulala mchana, lakini giza likiingia hujisogeza eneo la Msamvu Itigi na kuanza kuuza miili yao kwa wanaume lengo likiwa kupata ujira wa fedha," anasema Kamba.

Anaeleza kuwa miaka ya nyuma kulikuwa na kundi kama hilo, lakini lilikuwa limejisitiri katika nyumba maalumu na athari zake zilikuwa ndogo tofauti na sasa, ambapo wanawake hao wamekuwa wakiuza miili yao eneo la wazimida ambayo watoto wanakuwa hawajalala.

"Tumefanya vikao vingi na wazazi kuhusu namna ya kuwaondoa wanawake hao, lakini Serikali ya Mtaa haina ubavu wa kuwaondoa. Suala hili tumelifikisha katika ngazi za juu, lakini nao wamekaa kimya na kero imebakia kupokea malalamiko kila kukicha kutoka kwa wazazi," anasema Kamba.

Mfanyabiashara wa kwanza

Leonard Mwofuga mfanyabiashara aliyejenga kibanda cha biashara eneo la Msamvu mwaka 2000, anaeleza historia ya eneo la Msamvu Stendi na jinsi machangudoa walivyovamia akisema kuwa Februari mwaka 2000, alianza kuweka kibanda cha biashara eneo hilo baada ya Serikali kuhamisha stendi kuu ya mabasi yaendapo mikoani kutoka katikati ya mji kwenda Msamvu, ambao sasa panajulikana kama Msamvu Itigi.

Kabla ya stendi kuhamishiwa Msamvu, eneo hilo lilivuma kwa majina ya tofauti likiwamo Msamvu kwa Mela, Msamvu kwa Lupilo, Msamvu Highway, Msamvu BP, lakini majina hayo yalipungua nguvu tangu mwaka 2012, baada ya mfanyabiashara mmoja wa vinywaji kuhamia eneo hilo na kundi la machangudoa na mashoga kutoka katikati ya mji.

Mwofuga anasema: "Eneo hili lina karaha ya kila aina, hasa jua linapozama kwani utashuhudia utitiri wa machangudoa na mashoga wakianza kutanda kando ya malori na nguo zao za nusu utupu, wakiwasubiri wanaume kuwachukua na kwenda kufanya nao ngono.

Anasema kuwa kutokana na hali hiyo, eneo hilo huzagaa ovyo mipira ya kiume, huku wafanyabiashara wakikosa wateja wa kununua bidhaa za wafanyabiashara maeneo hayo, hasa wale viongozi wa serikali na watu wanaojiheshimu kwa kukwepa fedheha katika eneo hilo.

"Mwandishi kama utapata muda, wewe njoo eneo hili la Itigi hapa Msamvu saa 4 usiku utaona mwenyewe kinachofanyika na utakiri niliyokueleza kuwa yote yana ukweli. Hapo nyuma kuna vibanda vinavyotumiwa na machangudoa wa bei ya chini na wale wenye machangudoa wenye kiwango cha juu humpeleka mteja wao katika vyumba vya kulala wageni katika eneo hilo hilo," anasema Mwofuga.

Uchunguzi uliofanywa na gazeti hili kwa miezi mitatu mfululizo umebaini wanaume wanaofika eneo hilo la Msamvu Itigi hutozwa viwango tofauti vya fedha kwa huduma ya ngono kulingana na aina ya changudoa ambao wamegawanyika katika makundi mawili.

Makundi hao ni yale yanayotoa huduma ya ngono ya kuanzia Sh2,000 hadi Sh4,000 na mteja akilazimika kuingizwa katika kibanda ili akidhi haja zake katika godoro lililotandikwa chini ya ardhi, huku mmiliki wa kipanda hicho akimtoza changudoa Sh1,000 kwa kila mteja atayeingia naye kwenye vibanda vilivyopo nyuma vya wafanyabiashara wa chakula na vinywaji.

Kundi la pili ni la machangudoa wa hadhi ya juu ambao hutoza Sh5,000 na zaidi kisha kumpeleka mteja katika vyumba vya kulala wageni iliyopo eneo hilo.

Hata hivyo, hatari wanayoweza kukumbana nayo wateja wa machangudoa na makahaba hao ni iwapo watagundulika kuwa na pesa na vitu vya thamani kwani anaweza kudhuriwa kwa kuwekewa dawa za kulevya wakitumia mbinu za kiulaghai ikiwamo kulazimisha kunyonywa matiti yake kabla ya kufanya ngono.

Masheikh wazungumza

Mjumbe wa Baraza la Masheikh Mkoa wa Morogoro, Sheikh Ally Omari Ngarawa anaeleza kuwa kwa nafasi yake ya uongozi wa dini ya Kiislamu alisikia taarifa hizo baada ya kuhudhuria mchezo wa dhumna uliochezwa eneo la Soko Kuu la Mkoa wa Morogoro.

Ngarawa anasema kuwa ni jambo la aibu kwa viongozi kufumbia macho na kuwaacha makahaba wakiendelea kufanya biashara ya ngono kwa zaidi ya miaka miwili sasa katika manispaa hiyo.

"Siku moja nilisikia wanamichezo wa mchezo wa dhumna wakiongea juu ya biashara ya ngono Itigi, lakini nilishtuka na kutega sikio kusikia maneno hayo na sikuweza kuchangia mada hiyo bali nilichofanya ni utafiti kwa wiki mbili na nilibaini ukweli huo," anasema Ngarawa.

Anaongeza: "Ni kweli ngono inafanyika, tena bila kificho. Mwanamume akifika eneo hilo huchagua mwanamke anayependezwa naye na kupatana bei ambayo ni kati ya Sh3,000 hadi Sh5,000. Wakati mwingine hufikia Sh10,000 hii hutokana na matakwa ya mteja husika."

Kwa mujibu wa sheikh huyo ambaye ni mwakilishi wa Sheikh wa Mkoa wa Morogoro, lengo la kufanya utafiti huo lilikuwa kufikisha ujumbe kwa waumini wa Dini ya Kiislamu nyakati za ibada, hasa Ijumaa ambapo hufika msikitini kwa wingi na kutoa mahubiri mara nne kwa mwezi moja.

Polisi

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro (RPC), Leonard Paulo anasema: "Unataka kufahamu juhudi za Jeshi la Polisi katika kuinusuru jamii na maporomoko ya maadili kwa jamii zinazozungukwa na kumbi za starehe, nalifanyia kazi nami nijiridhishe ili nikupe taarifa sahihi kwa lengo la kuelimisha jamii."

Rais Kikwete

Akihutubia wananchi wa Mkoa wa Morogoro katika Uwanja wa Jamhuri mapema mwaka huu, Rais Jakaya Kikwete alieleza kuwa ugonjwa wa Ukimwi unatafutwa na siyo ugonjwa wa bahati mbaya.
 
Duh kweli balaa!!!! basi itakuwa kila mkoa Tanzania una sehemu special za biashara hii.
 
Back
Top Bottom