Natafuta mke mwema

Natafuta mke mwema

UMBEEE

Member
Joined
Mar 5, 2014
Posts
41
Reaction score
22
Ni daktari niko singo namtafuta mke awe na umri kuanzia 22-27 elimu 4m 4 -- chuo ani pm
 
Daktari halafu single?
We sema ukweli unataka wa kugegeda tu..
 
Daktari au mganga wa kienyeji??????

Jamani wadada wa humu muwe makini siku hizi kuna kuuzwa kwa waganga.
Kama huyu mleta mada nimwahamshtukia.
Maana madaktari kwa totoz mashaallh.
Sasa yeye iweje anadai yupo single?
Mhhhh haapa kuna kuuzwa kwa waganga
 
Ngoja niwaulize wake za madakitare siri ya hao watu Kim nana ukuje huku.... Evelyn Salt na wewe si dada wa dakitare njoo nipe mauzoefu kabla sijatuma application

ww sema tu umemzimikia dr.
Kitu cha dactaree kubali kushea yaan nesi ni mke wa pili huku mgonjwa ni mke wa tatu
 
Last edited by a moderator:
ww sema tu umemzimikia dr.
Kitu cha dactaree kubali kushea yaan nesi ni mke wa pili huku mgonjwa ni mke wa tatu

Mmmmhhh acha kunkatisha tamaa najua wivu tu unakusumbua
 
Halafu mtoa maada utakuwa domo zege ww yaan umekosa manesi, wagonjwa hata wale wanaowauguza?!! Aisee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom