Kwa kweli Wadada mnatuvumilia mengi.

Kwa kweli Wadada mnatuvumilia mengi.

benteke

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
1,305
Reaction score
1,069
Yaani mnatuvumilia kuanzia tunapowatoa out mpaka kitandani...ngoja niliongelee hili la out. Unakuta jamaa katoa ofa kwa mdada..mnakula mnakunywa alafu bill ikija jamaa anaanza kutoa macho na kuuliza maswali yasiyo kua na msingi, eti, umekunywa kesto laiti 6? au kwani wewe umekula makange au mchemsho.? alafu sasa mtu kama mimi nikiuliza hayo maswali lazima meza ya pili wasikie ninavyoongea kwa sauti.... kwa kweli mnatuvumilia. Wanaume tujaribuni basi bill ikija upige mwenyewe kichani sio vizuri kumuuuliza mwanamke eti umekunywa reds ngapi.. tunawakwaza jamani. Merry Krisimasi.
 
He he he.......asante bana kwa kutuhurumia........nasi tumewasamehe........
 
Asante kwa kuliona hilo! Same to u mkuu.

Na wadada wenyewe waache kuwategemea tu nyie
mlipe kila kitu . Mnawadekeza weeeeeeeee

Halafu baadaye mnarudi huku ooohhh sijui nifanye nini
huyu mwanamke nimekutana nae hatuna hata mwezi anataka
nimlipie kodi, mara saluni, sijui hachoki kuniuliza vocha
sasa hivi tukienda out analeta na marafiki zake sijui anataka
mi nilipe kila kitu ... khaaaaaaaa

Nyie wanaume mmezidi sana kuwadekesha kina dada / wanawake.

Sio mke wako huyo muda bado taratibu..
 
Ayayayaya......nafikiri uko mmoja kati ya milioni. Shem anaraha sana
 
Nyie wanaume mmezidi sana kuwadekesha kina dada / wanawake.

Sio mke wako huyo muda bado taratibu..

Heshima kwako bimkubwa...

Inaonesha umefundwa na ukafundika, na kila mume na mke asome na kuelewa ulichoandika...

Kuna mitoto ya kike imekaa kaa tu kama yatima...
 
hasa wale wenye VIBAMIA halafu akienda moja tu anakuwa hoi analala CHALI
 
He he he.......asante bana kwa kutuhurumia........nasi tumewasamehe........

always dada Preta ni mtu wa kusamehe. safi sana mpendwa, ubarikiwe zaidi kwa huo moyo! Ahsante kwa kutusamehe
 
Hope+he+is+paying.jpg

It is a traditional non-written rule for the man to pay for dinner
 
Na wadada wenyewe waache kuwategemea tu nyie
mlipe kila kitu . Mnawadekeza weeeeeeeee

Halafu baadaye mnarudi huku ooohhh sijui nifanye nini
huyu mwanamke nimekutana nae hatuna hata mwezi anataka
nimlipie kodi, mara saluni, sijui hachoki kuniuliza vocha
sasa hivi tukienda out analeta na marafiki zake sijui anataka
mi nilipe kila kitu ... khaaaaaaaa

Nyie wanaume mmezidi sana kuwadekesha kina dada / wanawake.

Sio mke wako huyo muda bado taratibu..

bravoo miss independent. but kwa ulimwengu wa sasa, ni wanawake wachache mno wenye mentality kama wewe. Aliekuoa amepata 'mke'. maintain the spirit
 
Mali bila daftari hupotea bila habari........kupiga hesabu muhimu sana kwa ajili ya kubalance mahesabu na kuendana sawa na bajeti uliyojiwekea kutokana na pochi lako hasa kwa sisi wenye visenti vya kuunga unga..............
 
Labda hayo unayafanya ww lakn mwanaume anayetambua majukum yake yeye anadai bili tu na kutoa walet na kulipa
 
hasa wale wenye VIBAMIA halafu akienda moja tu anakuwa hoi analala CHALI

Lovebird bana....sasa kibamia kimetoka wapi ten huku. Inaelekea unawaza sana dushe kubwa..kwi,kwi,kwi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom