Watanzania tujengeneni nchi yetu kwa kizazi,; tuacheni kuoa/kuolewa na watu wafupi

Status
Not open for further replies.

Shy land

JF-Expert Member
Jul 28, 2013
6,024
1,960
jamani watanzania wenzangu tujengeni taifa lenye nguvu kupitia kizazi vyetu kwa kuoa au kuolewa na watu warefu,

Watu wafupi ni wavivu sana tuwaache waoane wao kwa wenyewe tena ikibindi tuishawishi serikali ifunge vizazi vyao,

mwanamke anayefaa kuolewa sharti awe na futi 5, na kuendelea tofauti na hapo hafai kuolewa, watuharibia taifa letu, mwanaume sharti awe ana futi 5.6 nakuendelea tofauti na hafai kuoa.
 
Kila mtu kaletwa na Mungu duniani kwa kusudi tofauti acha kunyanyapaa,fikiri kabla ya post!
 
IMG_2680.JPG
 
jamani watanzania wenzangu tujengeni taifa lenye nguvu kupitia kizazi vyetu kwa kuoa au kuolewa na watu warefu,

Watu wafupi ni wavivu sana tuwaache waoane wao kwa wenyewe tena ikibindi tuishawishi serikali ifunge vizazi vyao,

mwanamke anayefaa kuolewa sharti awe na futi 5, na kuendelea tofauti na hapo hafai kuolewa, watuharibia taifa letu, mwanaume sharti awe ana futi 5.6 nakuendelea tofauti na hafai kuoa.
Bangi+Viroba+Mataputapu=Utumbo wako.
 
kwa nini futi 5 kwa mwanamke na 5.6 kwa mwanaume?

Urefu ni relative term na inatofautiana toka mtu mmoja na mwengine.

Hiyo futi 5 au futi 5.6 wengine kwao ni ufupi bado na wengine kwao ni urefu.

Mshukuru Mungu pia kwa kukujaalia urefu (kama unao) lakini kumbuka pia Mungu hashindwi kukufanya uwe mfupi muda wowote ule akiamua. So acha kudhihaki maumbile ya Muumba
 
jamani watanzania wenzangu tujengeni taifa lenye nguvu kupitia kizazi vyetu kwa kuoa au kuolewa na watu warefu,

Watu wafupi ni wavivu sana tuwaache waoane wao kwa wenyewe tena ikibindi tuishawishi serikali ifunge vizazi vyao,

mwanamke anayefaa kuolewa sharti awe na futi 5, na kuendelea tofauti na hapo hafai kuolewa, watuharibia taifa letu, mwanaume sharti awe ana futi 5.6 nakuendelea tofauti na hafai kuoa.
Unamkufuru Mungu ndugu
 
Mleta mada twende polepole.Nani kakuudhi hadi umeandika vitu vigumu namna hiyo?Hii wiki shorties wana kazi,nacheeeka!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom