Natafuta mwanamke bikira nimuoe ASAP

Natafuta mwanamke bikira nimuoe ASAP

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,650
Reaction score
21,010
kama kichwa kinavyosema. elimu at least form 4, dini yeyote. upole na ukarimu ni added advantages. mi ni 27 yrs old. mkristo. naweza kukutunza, kukugegeda, kukupenda na kukulinda. ambaye yuko interested ani PM tufanye maongezi ya awali. vigezo na masharti kuzingatiwa.

Note: tangazo ni serious.
 
Kaa ukijua "Virginity is not dignity, but it simply lack of opportunity" sasa wewe unatafta mke aliekosa fursa?? No wonder hatuendelei
 
kama kichwa kinavyosema. elimu at least form 4, dini yeyote. upole na ukarimu ni added advantages. mi ni 27 yrs old. mkristo. naweza kukutunza, kukugegeda, kukupenda na kukulinda. ambaye yuko interested ani PM tufanye maongezi ya awali. vigezo na masharti kuzingatiwa.

Note: tangazo ni serious.

Unamaanisha bikira ipi maana kuna ya limao, mchina na ya tinenda
 
am i asking for much!?. Akiwa mweupe, mweusi, mfupi,mrefu,mnene au mwembamba ni fresh maana watu hawajiumbi.Mi naulizia bikira ambayo ipo kwenye control ya mtu mwenyewe.
 
kama mimi ni mfupi haimaanishi sina haki ya kuchagua mwanamke mrefu au kuweka kigezo cha urefu kwa mwanamke nimuoae.
ufupi is natural but virginity is not something natural wewe umewabanjuwaa wewee hao uliokuwa unawabanjua unataka waolewe na nani?
 
ufupi is natural but virginity is not something natural wewe umewabanjuwaa wewee hao uliokuwa unawabanjua unataka waolewe na nani?
labda tuseme mimi sijasoma au siyo mtanashati, je siruhusiwi kuweka kigezo cha usafi na usomi kwa mke nimtakaye?.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom