Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Salaam Wanajamvi! Ni matumaini yangu kuwa wote mu-wazima mkiwa tayari mnajiandaa na sherehe ya kuzaliwa kwa Messiah pamoja na mwaka mpya ambao nao nadhani haugawanyiki kwa nne! Baada ya Salaam...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
wanawake wengi hasa wa kiafrika hawako huru kunako 6*6, sababu kubwa ni kwamba wana aibu so ukiwa unakiss au hata kumtekenya huko huwa anaona aibu na kuforce umfanyie penetration. kwani anajua...
11 Reactions
362 Replies
36K Views
Simu za magulio zina shida sana.Hupati muda wa kutosha kuzichunguza. Hofu inakufsnya upeleke mambo fasta fasta, ukizubaa mwenzako atabeba. Magulio yenyewe haya ya Desemba kipindi cha Krismas, watu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Alikuwa ni binti aliyelelewa katika familia yenye maadili , alikuwa ni binti mtulivu na mwenye msimamo positive juu ya maisha yake ! Wanaume wengi walimwinda lakn hawakufanikiwa kumpata ila mimi...
3 Reactions
66 Replies
8K Views
Wandugu wa JF... Ninamtafuta baba yangu kwa jina John Herman Kowanga ni mzaliwa wa Dodoma. Nimeambiwa na mama kuwa aliwahi kuish Mikocheni miaka ya 1974. Alikuwa akifanya shughuli za...
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Kazi anayofanya mke wangu inamfanya arudi wakati mwingine usiku na anapofika huwa ananiambia sababu za kuchelewa kwake kurudi hata hivyo huwa siziamini sana kwani siku hizi waviziaji wa wake za...
0 Reactions
81 Replies
19K Views
Wadau, kama kuna wanafuatilia hyo movie via star tv, embu tusaidiana, je, Ser Chief anaogopa kumtokea life Maya? Anaogopa hasa nini? Jamaa anaelekea kufa kwa sababu ya Maya. Ufafanuzi please!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wapendwa naombeni msaada nifanyaje kwampenzi wangu nilie nae ili aweze kuwasahau wanaume wengine na kuniona mimi ndo wapekee kwake. Natanguliza shukrani
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Ninaomba kwa anayefahamu sababu inayopelekea wanawake kununa bila hata kuudhiwa na mtu yeyote, unaweza kuta jana alikua mcheshi na mchangamfu ila siku inayofuata kabadilika kabisa, na hata kufikia...
1 Reactions
72 Replies
12K Views
Wanajamvi, mwaka ndio huooo. Mungu akipenda tutaumaliza salama au akipenda vinginevyo Basi Mapenzi yake nayatimizwe. Ok ok, Salam ni kitu cha kawaida sana, salamu sio Shkamoo na Marahaba tu...
6 Reactions
65 Replies
8K Views
Kuna mambo uwa yanatokea na yanasikitisha mpaka nikaamua kueleza hivi,pia mimi si mbaguzi ila nilichokiona nikikaa kimya itakuwa mbaya zaidi.Ngoja niende kwenye mada nisiwachoshe. Nimeshuhudia...
21 Reactions
170 Replies
26K Views
Habari wanaJamiiForums. Mara nyingi nakuwa na maswali yanayonisumbua kuhusu tofauti yetu ya umri. Nahitaji kuoa, ila tofauti yetu ya umri inanitatiza kidogo kwani nahisi gap ni kubwa zaidi...
0 Reactions
45 Replies
6K Views
Habari za hasubuhi wanajamii , naomba kudokezwa japo kidogo ni kabila lipi mabinti zao wataalamu wa mchezo wa kitandani. Kuna watu wanadai wakerewe na wajita ni balaa.
0 Reactions
57 Replies
26K Views
  • Closed
kwa vile viumbe vilivyobahatika kuwa na chuchu hujisika raha sana kiasia pale kinaponguswa kwenye chuchu, utafiti huu nimeufanya kwa kuona kwa kujaribu kushika na kushikwa, wale wakamuaji...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Nimepiga kwao, mpaka sasa hayuopo, je atakuwa kachepuka au. Mchepuko wake naujua, je nikavamie muda huu
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Hello guys nina mrembo wangu bado hatujasex ila anapenda sana phone sex so nilikua nauliza eti kunamadhara gani anayoweza kupata?
0 Reactions
41 Replies
11K Views
Jamani wadau, naheshimu sana mawazo yenu. Mchumba wangu nje na kuwa nae miaka takribani mitatu sasa, amepata ujauzito kwa jamaa mwingine. Kanidanganya tusionana karibu miezi miinne ili atoe...
0 Reactions
87 Replies
8K Views
Hii sio fresh kabisa. Nikitaka hanipi, nikilazimisha nabaka, nikiomba asubuhi sithamini usingizi wake, yaani kupata ni mpaka ninyemelee nijipendekezeshe eti sasa joto siku hizi ndio kabisaaaa...
0 Reactions
86 Replies
11K Views
Habari za mchana watazamaji, washangaaji na wachangiaji wa nyuzi mbalimbali za majukwaa pendwa ya mtandao wetu bora kabisa wa JamiiForums. Baada ya salaam hiyo naomba niende moja kwa moja...
1 Reactions
167 Replies
46K Views
Rejea kichwa cha habari. Nina umri wa miaka 29, elimu yangu ni chuo kikuu.zifuatazo ni baadhi sifa muhimu za mke naemuitaji : 1.Awe mcha Mungu ( mkristo ) 2. Awe mwenye maadili ya kiafrika...
0 Reactions
46 Replies
4K Views
Back
Top Bottom