Ugonjwa wa kasonono na kaswende

Ighombe

JF-Expert Member
Feb 12, 2014
1,173
652
Idadi kubwa ya binadamu siku hizi wanatumia condoms.
SWALI: (1)Je magonjwa niliyoyataja hapo juu yapo au yameshatokomea kama ugonjwa wa ndui?
(2)Kama yapo ni nini kinachochangia kuwepo kwa kuzingatia kuwa mipira inatumika kujikinga na UKIMWI.?
 
Huo Ugonjwa Wa Kasonono Unapatikana ktk Sayari Gani Mkuu? Nina Hamu Niufuate.
 
Back
Top Bottom