Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mapenzi ni sanaa na kila mtu ana ulevi wake katika mapenzi.kwa dhati toka moyoni mimi hupenda sana kudate na wanawake watu wazima!!hivyo basi kwa mwanamke yoyote wa makamo anayeishi MOSHI AU...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Awe na kaz yake,umri kuanzia 18 na kuendelea.Nko moshi,0713578805 for whatsap
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Tunapendana sana na huyu dada..namfanyia kila alitakalo kutoka date, kitandani hata shopin ninapokuwa poa. Yeye pia wakati mwingine hunipeleka date na kunifanyia shopn kwa hiari yake. tatizo...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
If I could change one thing about me I wouldn't change a thing. I'm perfectly imperfect. I strive to better myself in the eyes of the God. I'm single because I am a woman of substance and I...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Wana MMU ni siku chache zimepita takribani wiki moja hivi kuna sakata moja limetokea maeneo fulani ya hapa jijini Dar es salaam, jamaa mmoja alifumaniwa na mke wa mtu kama unavyojua uchungu wa mke...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari za jioni wanagroup, nimeona leo nije na mada hii maana inaonekana wanawake huwa wanajisahau sana wakti wa kupanda ama kushuka kwenye pikipiki kwa jina maarufu BODABODA na kujikuta wanaweka...
1 Reactions
32 Replies
5K Views
Mwaka umeisha kama hadithi vile:msela:
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sijona thamani ya kuishi hapa duniani tofauti na mapenzi, hasa ukimpata akupendaye. Sawa maisha ni magumu lakini inapofikia swala mko wawili na mpenzi wako ndio inakuja raha na maana sahihi ya...
1 Reactions
38 Replies
5K Views
Wakuu xmas ndo hiyo imefika, vp mmewanunulia nini wenza wenu na mmepanga kuwatoa out wapi? Kwa upande wangu mimi nimempiga kibuti kuanzia December mosi mpaka January 20. Xmas njema kwa wale...
2 Reactions
67 Replies
14K Views
Kama kawa mkiniona mimi umu MMU ujue na ujumbe mzito. Haya mambo ya kusema ya kusema nakula ujana bado nipo nipo sana yanawatokea puani wazee wa Kitanzania na ata wa sehemu nyingine ambao wameoa...
1 Reactions
46 Replies
6K Views
Si vizuri kumwambia mwanamke umenenepa.Kwani wanawake wengi hawapendi unene,Mwambie umebarikiwa ahh atafurahi sana
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Wadada badilikeni jamani, uongo wenu utawamaliza. Kuna mdada tumefahamiana siku 1 baada ya hapo tukawa tunawasiliana, hi leo tukakubaliana kuonana maeneo ya Feri-Kigamboni(alipenda hapo mana...
0 Reactions
167 Replies
18K Views
Jamani kwa nini wa dada wasaidizi wa kazi za nyumbani hupenda kusingizia sana wababa kuwataka kimapenzi sasa hii hutumika kama defense mechanism au nini. Ukigombeza tu kosa what to do now kukaa...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Ndugu zangu wana JamiiForums poleni na majukumu. Mara kadhaa nimekuwa nikijiuliza hili swali. Kama mjuavyo miili yetu inahitaji usafi, hasa kwenye maeneo nyeti. Swali langu ni je! Hawa wenzetu...
1 Reactions
157 Replies
22K Views
According to your views mwanamke ambaye katoboa pua na masikio zaidi ya mara moja unamchukuliaje?
0 Reactions
65 Replies
20K Views
Habari wadada / wanawake, kama wewe ni mpweke kama mimi na ungependa kupata kampani kwa siku hizi za sikukuu na hata baada ya sikukuu naomba tuwasiliane na kupeana kampani!! 0764644485 number...
0 Reactions
0 Replies
949 Views
Piga picha upo kwenye game ya sita kwa sita, unafikia hatua ya kutoa wale wazungu, hapo uso unabadilika km unataka kukata roho na muda huo mwanamke anakuangalia unavyohangaika na uso ulivyouweka...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wanajukwaa, nimeona niseme maana nami ilinitokea kwa mchepuko mmoja kunilazimisha nizame chumvini na mimi sipo willing kufanya hivyo ikabidi tuachane. Rafiki wa rafiki yangu aliyeingia...
2 Reactions
378 Replies
48K Views
Hivi umeolewa na ulipokuwa unaolewa umemkuta mumeo ana mtoto, tumuite mtoto wako wa kufikia then na wewe umejaliwa na Maulana ukapata mtoto je ni sahihi ukiulizwa na watu kusema kuwa una mtoto...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu Habari Hii Ni Kweli Kabisa Nami Nimeamua Kuileta Kwenu Kama Nilivyoambiwa Na Rafiki Yangu Ambaye Kila Siku Analia Na Amekata Tamaa Kabisa.Mara Ya Kwanza Nilipoambiwa Kuwa Mke Wangu Ni...
2 Reactions
116 Replies
24K Views
Back
Top Bottom