Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.5K
Posts
210.2K
Threads
7.5K
Posts
210.2K

JF Prefixes:

Nimekuwa nikimshauri ni nini ninahitaji yeye afanye: Awe humble, awe anaongea na mimi sauti ya chini, awe ananisikiliza kile ninachoongea na hata kama ni kukanusha/kukosoa basi awe anafanya...
1 Reactions
61 Replies
7K Views
Nimekuja kugundua wanaume wengi ni wafuasi wa punyeto. Baadhi yao wameoa na wengine ni ma single. Punyeto husababisha unafika kilelen mapema na unachoka kabla mwenza wako hajafika kileleni...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Inapotokea mtu akawa msaada kwa mtu mwenye shida fulani mara nyingi utasikia maneno kama 'nisaidie nikusaidie' sana sana kwa wanaume. wengi ambao wanakuwa wameonelea kwamba hawana jinsi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wadau,mi waifu wangu sio mtu wa mitandao kabisa japokuwa ni graduate na ana kazi yake.hata acc fb hana,anapenda vitu simpo simpo sana kasoro kuvaa ndo anapenda avae vizuri.amekuwa akiniona mi...
2 Reactions
98 Replies
7K Views
Ni mwaka wa tatu ama wa nne hivi toka mume wa wifi yangu atengane na mke wake. Hawa watu waliona kanisani tena kwa hiyari yao. Hadi hivi sasa wana watoto watatu wazuri tu. Mkubwa yuko chuo Kikuuu...
0 Reactions
60 Replies
5K Views
Haijawahi kutokea mkoa na hasa jiji hili kupata harusi kubwa na yenye shamrashamra kebekebe kama ya leo. Member mwenzetu YNNAH ametoroka rasmi kambi ya mabachela. Bila kumung'unya maneno...
15 Reactions
113 Replies
11K Views
Kwa moyo mkunjufu napenda kuwasalimuni nyote mabibi na mabwana...................!!!!! Fridays are the hardest in some ways:u're so close to freedom (ngoja niwawahi kabla kila mtu hajaanza hii...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari zenu wana MMU.kwa mara ya kwanza nawashirikisha ktk siku hii muhimu kwangu;siku ya kuzaliwa kwangu ambayo mimi kadoda11 niliwasiri Duniani.Ilikuwa ni alasiri ya alhamisi,tarehe 19 mwezi wa...
2 Reactions
72 Replies
3K Views
Kama kuna mtu anaweza kunipa ufafanuzi kidogo, jinsi ya kupata passport ya kusafiri.... nimejaribu kuingia website ya wizara ya mambo ya ndani ila haifunguki kabisa... labda kama kuna mtu anaweza...
1 Reactions
62 Replies
5K Views
Kuna jamaa yangu kaniomba ushauri nikasema ni vzr nilifikishe hapa mezani wanaJF walichambue! Huyu mshkaji ni mwalimu wa chuo Kikuu fulani ana Masters yake nzuri tu! ila ni yanki tu hata 30yrs...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Kimaumbile inaelezwa kwamba, mwanaume hahusishi tendo la kujamiiana na kumpenda mwanamke. Kwa mwanaume, kupenda ni jambo moja na tendo la kujamiiana ni jambo lingine. Hii ni tofauti na wanawake...
16 Reactions
43 Replies
12K Views
1. Umepatwa na ugonjwa wa zinaa, unaulizwa ilikuwaje umeukwaa wakati ulionekana ukinunua kondom??? Jibu,..... Kondom ilipasuka, (moyoni unajua fika kuwa kondom uliisunda chini ya mto) 2. Umempa...
10 Reactions
77 Replies
6K Views
Katika pitapita yangu nimegundua kuwa wanawake/wasichana hawajui vizuri mzunguko wa hedhi zao, na hii inapelekea kuwa na hofu ya mimba kila wakati na pengine kupata mimba. Inafika kipindi nawapa...
0 Reactions
40 Replies
9K Views
Ni matumaini yangu wote mu wazima wa afya na mnaendelea vema na majukumu yenu ya kila siku. Kama kichwa cha habari kinavyosomeka. Nimeamua kuwa na aina tofauti ya kufunga na kuanza mwaka...
0 Reactions
55 Replies
3K Views
Kama kuna kitu ambacho huwa napata tabu kukielewa ni hiki cha mtu kumrudia X wake hasa baada ya kumuacha kwa vituko vya kila aina. Kuna kesi moja ilitokea kati ya binti na jamaa yake. Walikuwa...
7 Reactions
37 Replies
3K Views
What was meant to be a moment of joy for a bride in Wante Village in Mayuge District (about 125km southeast of Kampala) turned into sorrow after her groom arrived on a boda boda (motorcycle)...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa wale wanao kumbuka Garage party party one, watakuwa walifurahi sana kwa nondo zangu za ukweli na zisizo na chembe ya shaka. Leo vijana nakuja na hili, Seriously, Usioe mwanamke ambaye...
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Waungwana khali zenu, Leo nakuja na maada ambayo inaigusa jamii hasa ya waliokwenye mahusiano (kwa maana ya mapenzi) mjadala huu umetawala hisia za wengi na hata Toleo la juzi la RAIA Mwema Toleo...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari za ijumaa? Inawezekana kwa kijana wa kike au wa kiume kuwa na rafiki aliyekuzidi sana umri?,kwa mfano wewe una miaka 15 halafu rafiki yako let's say ana miaka 28,is it...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Hivi mwanamke anaposema "unamchezea" yupo sahìhi kweli wakati wote mnavua chupi?
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Back
Top Bottom