Shida ya mtu inapogeuzwa chambo cha kumpata kimapenzi

Shida ya mtu inapogeuzwa chambo cha kumpata kimapenzi

Joined
Jul 2, 2013
Posts
1
Reaction score
0
Inapotokea mtu akawa msaada kwa mtu mwenye shida fulani mara nyingi utasikia maneno kama 'nisaidie nikusaidie' sana sana kwa wanaume.
wengi ambao wanakuwa wameonelea kwamba hawana jinsi hukubaliana na hali ili shida iishe
Cha kushangaza ni kwamba yuleyule wakati anatimiza azma yake utasikia maneno ooo nakupenda sana, i love u so much.
Wengine wananogewa kwa yale maneno wanajihisi wapo kwenye mahusiano.

Lakini imani yangu ni kwamba anayeonekan mwema kwasababu una shida vivyo hivyo ubaya wake utajidhihirisha pale utakapopata shida.
Kikubwa ambacho inabidi tutambue si kila kufa ni kufaana, msaidie mtu kama una nia ya kumsaidia mambo mengine yatafuata, kama ipo ipo tu.
WANAWAKE wazuri wapo kila kona, WANAUME watanashati wamesheheni unadhani utafikia hata robo yao hata ukitembea na mwanambe kila siku?!
Au ninyi mnasemaje ?......:yell:
 
Back
Top Bottom