Nataka kuvuka Bodaa

Nataka kuvuka Bodaa

Toria

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
1,177
Reaction score
700
Kwa moyo mkunjufu napenda kuwasalimuni nyote mabibi na mabwana...................!!!!!

Fridays are the hardest in some ways:u're so close to freedom (ngoja niwawahi kabla kila mtu hajaanza hii freedom kwa style yake)

"Nilikua nipo nipo kwanza" lakini nimeanza kufikiria kutokuwepo tena (though ubachelorette una raha zake)

Sasa bwana katika kulifanya hili liwezekane (ni pamoja na kumshirikisha Mungu) nimejaribu kuangalia walionizunguka magalasa,reserve zangu and the king of the jungle mwenyewe. Among kuna mu-east africa mmoja i must admit tumesoshalize tu vyema all the way na kanifanya nifikirie kuvuka boda tujenge familia ya mganda na mtanzania.

Ila zaidi ya kumjua yeye sijui tamaduni,mila na desturi za huko kwao and of course siwezi kumwuliza huyu mtu niexpect ataniambia ukweli kama hazipo so friendly.

So please does anyone knows waganda vizuri labda kama wana vitu flani flani hivi complicated kabla sijakurupuka mie!!!!
 
Jangu jangu, hongera Mkuu kwa kuvuka boda, mi nawafamu wanapenda sana ndizi matoke, ila wahaya watakuwa wanawafahamu zaidi
 
Hawana tofauti sn na wabongo ila kwny ndoa ndo tunapishana kidogo
 
Anza kujifunza Kupitia yeye ndo uchanganye na utakayo yapata hapa. And ikatokea umepata kasoro nyingi kuliko mazuri utamuacha?
 
Vuka tu kwani maisha popote. Hivi unafikiri watanzania ndo wenye tabia njema tu?. ingekua hivyo waganda wasingekua wameoa. Usiogope coz maisha hupanga Mungu.
 
Mie nimefurahi kukuona Mkuu saudari maana ulipotea sana, karibu nikuanzishie uzi ili kujua kama upo salama. Jioni njema Mkuu.

Maskini Paloma wa watu mpaka leo sosoliso hajawai kumvukisha boda.

Ila usijali Shemeji yangu nitaongea na Sosoliso angalau hii Christmas ukale bata SOMALIA.

CC: Mpwaa wangu Elli, Mr Rocky, Asprin, BAK na wengine wenye kumfahamu Palo vizuri.
 
Last edited by a moderator:
Kwa moyo mkunjufu napenda kuwasalimuni nyote mabibi na mabwana...................!!!!!

Fridays are the hardest in some ways:u're so close to freedom (ngoja niwawahi kabla kila mtu hajaanza hii freedom kwa style yake)

"Nilikua nipo nipo kwanza" lakini nimeanza kufikiria kutokuwepo tena (though ubachelorette una raha zake)

Sasa bwana katika kulifanya hili liwezekane (ni pamoja na kumshirikisha Mungu) nimejaribu kuangalia walionizunguka magalasa,reserve zangu and the king of the jungle mwenyewe. Among kuna mu-east africa mmoja i must admit tumesoshalize tu vyema all the way na kanifanya nifikirie kuvuka boda tujenge familia ya mganda na mtanzania.

Ila zaidi ya kumjua yeye sijui tamaduni,mila na desturi za huko kwao and of course siwezi kumwuliza huyu mtu niexpect ataniambia ukweli kama hazipo so friendly.

So please does anyone knows waganda vizuri labda kama wana vitu flani flani hivi complicated kabla sijakurupuka mie!!!!

hii ni sababu nyingine inayomfanya invisible na kina max wa anzishe forum ya uganda kama ilivo kwa kina nairoberry..
 
Back
Top Bottom