Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.5K
Posts
210.1K
Threads
7.5K
Posts
210.1K

JF Prefixes:

Hivi kwanini mwanamke akikosea na ukianza kumrekebisha anaanza kukumbusha mambo ya kuumiza ya nyuma na mengine hujawahi fanya? mara mie naondoka tafuta mwanamke asiye na makosa, mara naenda...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
habari zenu wana jamvi..... samahani jamani naombeni msaada wa mawazo mimi natumia skype kama mwezi mmoja hv kuna mzungu mmoja akashare contact na mimi tumeendelea mpaka tukaanza relation za...
3 Reactions
57 Replies
5K Views
Jamani kuna mwanaume alikuwa akilalamika eti kuna mtu kamrusha elfu kumi ataenda kumkatakata na panga mi mkamwambia mbona hiyo hela siyo kubwa kihivyo kwani yeye ni mwajiriwa sehemu fulani na ana...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Pata Nyumba ya familia moja huko mtaa wa ugombolwa Kata ya Segerea ikiwa inateketea kwa moto usiku huu mara baada ya Baba wa familia hiyo kuhisi kuwa mke ana mahusiano ya kimapenzi...
1 Reactions
240 Replies
38K Views
quit bad habit Kama vile kusema uongo,zinaa, kulewa sana, (uvivu,) kupiga ok mmenielewa i want to be a good boy good health mazoezi (1 to2 hours 4days a week), kula vizuri. kujifunza mambo mapya...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
  • Closed
Kila mwanaume amekuwa asisema lake kutokana na maumbo ya wanawake.je wewe mdau unasema nini? Upande wangu nimekutana na haya. 1.Mwanamke mrefu mwembamba- mashine yake nayo ndefu sana...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
wadau,hasa kwa wale mliooa na kuolewa,na wengine wote kwa ujumla,wikend iliyopita nilikuwa napiga stori na waifu,baada ya kuniambia ananipenda sana akasema,siku akijua nina mcheat ataniwekea sumu...
0 Reactions
168 Replies
9K Views
Wakuu, hali hii hunipata mara kwa mara panapo tokea mkwaruzano kwa Ke ninaempenda. Hata kosa dogo tu nimekua nakasirika hadi mapigo ya moyo huongezeka. Je, nifanyeje ilikuepukana na hali...
0 Reactions
65 Replies
5K Views
kwa kuwa huwa sipati wasaha wa kuingia PM kwa muda huu nitajibu chochote kuhusu mimi kwa mwenye swali linalonihusu ama amekuwa akijiuliza swali kuhusu mimi bila majibu. pia swali linaweza kuhusu...
0 Reactions
103 Replies
6K Views
Wanajamvi hi kwenu eti kna mwanaume tulikuwa tunakaa jirani nyumba ya kupanga kama miaka 6 iliyopita. Kipindi hicho alinitongoza akitaka tuu papuchi na siyo otherwise mie mkakataa na baadae...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
wadau nataka kupata uzoefu kidogo,jamaa yangu mmoja analalamika kuwa amekuwa na mahusiano na mpenzi wake kwa mwaka mmoja na nusu sasa,imefikia hatua wametambulishana na amemvalisha pete ya...
0 Reactions
17 Replies
7K Views
Mhhhh! Baada ya kuwa mpweke kwa muda mrefu, uzalendo ulinishinda nikaamua angalau na mimi nitafute binti wa kuniliwaza. Mchakato huu ulianza kwa binti mmoja ambaye tulikutana kwenye dala dala...
9 Reactions
84 Replies
10K Views
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Namshukuru Mungu kwa kudra zake mpaka leo nakuja kuandika hapa. Sasa bwana bado nakomaa na jiji! Tutabanana hapa hapa! Huku na...
22 Reactions
88 Replies
7K Views
Technolojia inachangia mno ktk ueneaj wa mambo mbalmbal ikiwemo hiz X! Heb wadau tujadil kuhusu michango hac/chanya ya hii mitindo ktk mapenz/ndoa!
0 Reactions
26 Replies
27K Views
Nasikitika nimepata taarifa za kunishtua cha kifo cha rafiki yangu tulikuwa sote kitambo udsm, amefariki baada ya kuwekea sumu kwenye beer, mshikaji alishaoa ila inasemekana alikuwa anatoka na mke...
4 Reactions
57 Replies
6K Views
Embu niambieni bandugu mnapendelea mwanamke wa aina gani kati ya hawa unapotongoza? 1) Yule ambaye anakukatalia na kujibu kashfa na matusi huku akifoka unapomtongoza? 2) Msumbufu na umempata...
0 Reactions
122 Replies
11K Views
Habari zenu. mwenzenu ninabwana nampenda sana kiumri ana miaka 55 na yeye ananipenda kupita maelezo lakini kuna tatizo moja ambalo kidogo huwa linanirudisha nyuma pale kwenyekunanihiliu dakika...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
wanawake wengi hutumia majina ya waume zao as surname zao huku akiacha kabisa jina la bba yake. hii zaid ni kwa wanawke wasomi. why this.
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Umepata binti wa kibongo mkawa kwenye urafiki yeye ameajiliwa mjini amepanga chumba ndugu zake wanakaa mwanza na ameishakwambia kule kuna shangazi tu na baadhi yandugu lakini uwezo wao kimaisha ni...
1 Reactions
53 Replies
5K Views
MAPENZI KWA HISANI YA WHATSAPP...CHEZEA WEYE MKAKA: Hello Babe.... (11:45pm) MDADA: (last seen at 11:46pm) MKAKA:Nijibu tafadhali ( 11:50pm) MDADA: (last seen at 11:52pm) MKAKA...
22 Reactions
138 Replies
12K Views
Back
Top Bottom