Kisa cha kweli leo hii, Kimara, Suka.
Baba, mmoja, kwa jina simjui mara moja.Kapiga makelele kwa familia yake hadi mayoweee na kilugha anaongea, yaani ni mtifuano.Familia imehamia UKAWA kabakia...
Basi tukakaa kila mtu na siti yake, pembeni yangu ni John, kijana mtaalamu wa Mechanics, uzoefu wa gereji za katikati ya jiji la Kampala, siti mbili za mbele yetu walikaa Milgo na Fatma, mabinti...
Baada ya mihagaiko ya kutwa nzima jana rafiki mmoja alinikuta nikiwa nafunga kijibanda changu na tukaanza story baadae nikamwambia mimi nataka nikapumzike nyumbani hivyo tukaanza kutembea kuelekea...
Rafiki yangu kapata mwanamke mzuri sana na akampenda.Jamaa kwao ni Tanga wilaya ya Mkinga.Wazazi wake wamemuambia asioe watu wa hapa Shinyanga akaoe kwao Tanga.
Je, kuna haki ya kuwasikiliza...
Jamani najua wote mko poa,
Mke wangu weekend iliyopita alienda jangwani kwa MAGUFULI akarudi na collection ya nyimbo zote za Komba kuanzia CCM mbele kwa mbele,wapinzani wakija tuwachanechane...
SIMULIZI YA MAPENZI : SURAIYA
MTUNZI : KALAMU NA KARATASI
MAWASILIANO: 0655 08 02 90
MSAMBAZAJI:KALAMU NA KARATASI FOUNDATION
SEHEMU YA KWANZA
Barua Pepe: kalamunakaratasi@gmail.com...
Sasa una kuta mtu inakubidi ucheze chini ya kiwango kutokana na mdada kuwa mchafu kunako K,.
Una mkuta dada ni sister do lakini kitumbua chake ni balaa! Hivi mnashindwa nn mkienda kuoga kuwa...
Habari wanajukwaa,
Mimi huwa sioni umuhimu wa kuangalia sijui upole wa mwanamke, siju mwenendo wa mwanamke, coz ninachokijua;
Unaweza ukamwona mwanamke ni mpole lakini ukishamuweka ndani ndo...
Siku ambayo unapata kwa mara ya kwanza ku-do na demu ama boy wako huwa ni siku ya pekee kabisa kuliko siku hata zitakazofata katika safari yenu ya mapenzi.
Kwanza kila mmoja huwa ameipania siku...
Habari wakuu,
Mimi ni kijana mzaliwa wa mkoa wa Ruvuma ila kwa sasa nafanya kazi Mbeya. Baba yangu alikuwa ni mtu mzima sana miaka ya 96 nikiwa shule ya msingi katika familia yetu tupo wanne wa...
Mficha uchi kifo humuumbua,
kwa kiasi kikubwa wanaume wengi imegundulika kuwa na tatizo la KUMWAGA OIL mapema sana baada tu ya kudumbukiza mrija kwenye tank.Hali hii inaleta aibu kubwa sana kwa...
Mwanamke anapenda kupendwa!
Nimeisoma mahali fulani habari hii na kuileta hapa kwa ‘Great Thinkers'.
Mwanamke anapenda kupendwa! Mara nyingi wanawake ndiyo hasa huwa na mapenzi ya dhati...
Watu hawa wote wawili nawafahamu tangu chuo, walikuwa wakipendana sana lakini hawa kuwa na mahusiano ya kindoa.2010 msichana akaolewa, 2011 mvulana akaoa.2015 wote wameachana na familia zao sasa...
Ukitaka kujua Wanawake wanapenda Kudanganywa kuliko hata kwenda Saluni We angalia aina ya Maswali anayokuuliza yalivyo.
Unatongoza Demu Mpya halafu kabla hata hajakukubalia anakwambia.
"Naomba...
Habari zenu wana JF?
Hususani wana MMU nahisi mko poa.
Nilikuwa na mpenzi na nahisi alinipenda kweli kwani alipenda kunisisitiza nisije kumwacha vile vile alishanitambulisha kwa mama...
Habarini wadau,
Hapa nazungumzia wale ambao wako ready to mingle kwa wale ambao mmeshavutana na kuwekana ndani utatoa tu experience yako.
Kwa maisha ya siku hizi wanaume wengi wa mjini...
Ni jambo la kushngaza lakni lipo demu kunyonya hadi manii inatoka kisha hatemi! ukimuuliza anasema huwa ni nzuri ni kama ukizoea sgara utapenda kuvuta , hata ukitaka kupumulia out anakomaaa mrija...
Nina rafiki yangu naweza kusema bora hata majanga yangu ya kukimbiwa yana uafadhali kuliko ya huyu jamaa, sielewi ndo amekamatwa na mahaba ya yule msichana ama vipi.
Yeye anafanya kazi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.