Naombeni Ushauri juu ya maisha haya ninayoishi na mke wangu.

mimituu

Member
Nov 5, 2012
61
0
Nimekuwa nikimshauri ni nini ninahitaji yeye afanye: Awe humble, awe anaongea na mimi sauti ya chini, awe ananisikiliza kile ninachoongea na hata kama ni kukanusha/kukosoa basi awe anafanya kistaarabu, kwa kuwa yeye ni mama wa nyumbani-nikitoka kazini awe ananiriwaza na kunipa pole na kazi! ikiwezekana hapa kunibembeleza kutokana na uchovu wa kutafuta pesa kwa ajili yake na familia yangu. Chakushangaza Hafanyi hivyo, jamani mimi sihitaji aingie gharama yeyote kwa ajili yangu nikunifanyia hayo tu? Kuhusu kumuheshim ninamuheshim sana sana na analijua hilo-ninamuita majina yote mazuri, ninambembeleza sana sana huku nikimueleza jinsi dunia ilivyo; lakini wapi! akijaribu kunifanyia hivyo basi ni week moja tu then anarudi vile vile alivyokuwa awali. HUYU MWANAMKE ANATATIZO GANI? NICHUKUE HATUA GANI?
Nawasilisha wana MMU wenzangu!
 
Mashaxizo

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
6,707
1,225
Khaaa!
You cant fight against nature!
Inakupasa utambue kuna Makundi mawili ya watu!
1 Flexible!
2 Rigid/unchangeble!
...
Ukipata nö 2 hapo kazi unayo! You ought to know that akibehave hivyo haina maana kwamba yeye ni mjeuri au haelewi!
In nature iko hivyo, tena uache kumlazimisha lazimisha! For sure unamboa, tena ustegemee kupata mtu atakae kufanyia yote uyatakayo!
Mi nilijua anaweakness zisizovumiliza kumbe ni hivyo tu!
...
For sure wewe ndie mkosa! If unabisha nijibu hapa!
Kipindi cha upenzi na uchumba ndio kipindi cha kumsouma mwenzio katika angle muhimu ikiwemo ya mabadiliko!
Ivi unadhani kile kipindi (cha uchumba)
ni cha nini?
Au unahisi kile ni kipindi cha kuchokoana tu?
 
Husninyo

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
23,790
2,000
kazi za nyumbani zinachosha sana, mnapaswa kufanyiana hayo badala ya wewe kusubiri kufanyiwa. jirekebishe bro.
 
Sal

JF-Expert Member
Jan 14, 2008
499
0
Mashaxizo umesema yote.
Mtoa mada, usitegemee mkeo akufanyie unavyotaka wewe. Mmekutana kila mmoja na meno yake 32 mdomoni. Hayo unayotaka wewe kufanyiwa hakuwahi kuona mama yake akimfanyia baba yake, iweje ghafla abadilike? ndio maana kuna muda wa kuchumbiana, maana yake ni kuchunguzana na kutathmini kama mwenzio mtaweza kuishi pamoja. Hii dhana ya kusema atabadilika baadae, imepotosha wengi, tabia ya mtu haibadiliki hata siku moja. Cha kukushauri hapa ni wewe kujifunza kuishi na tabia ya mkeo.
ukimsema utakua unamuonea maana haoni kama ana makosa. Pole sana.
 
Daudi1

JF-Expert Member
Dec 14, 2013
6,929
2,000
Nadhani mkiwa wachumba ulimchunguza tabia zake na ukajiridhisha kuwa utaweza kuvumilia mpaka mwisho wa maisha yenu,mkiwa kwenye uchumba alikuwa anakusikiliza,kukubembeleza na kukufariji pale ulipohitaji faraja? kama alikuwa anafanya haoy unayolalamika kuwa hafanyi jaribu kutafuta sababu ya kuacha kufanya hayo,na kama alikuwa hafanyi huna haja ya kulalamika kwani ulijua hayo mapema ndo alivyo na la muhimu ni kumchukulia jinsi alivyo.
 
Leah Brown

Senior Member
Jan 9, 2013
198
250
Khaaa!
You cant fight against nature!
Inakupasa utambue kuna Makundi mawili ya watu!
1 Flexible!
2 Rigid/unchangeble!
...
Ukipata nö 2 hapo kazi unayo! You ought to know that akibehave hivyo haina maana kwamba yeye ni mjeuri au haelewi!
In nature iko hivyo, tena uache kumlazimisha lazimisha! For sure unamboa, tena ustegemee kupata mtu atakae kufanyia yote uyatakayo!
Mi nilijua anaweakness zisizovumiliza kumbe ni hivyo tu!
...
For sure wewe ndie mkosa! If unabisha nijibu hapa!
Kipindi cha upenzi na uchumba ndio kipindi cha kumsouma mwenzio katika angle muhimu ikiwemo ya mabadiliko!
Ivi unadhani kile kipindi (cha uchumba)
ni cha nini?
Au unahisi kile ni kipindi cha kuchokoana tu?

asante mdau, unajua tunajisahau sana kwenye kipindi cha uchumba ndo kipindi cha kusomana ukisharidhika unaenda stage nyingine ya ndoa au laa
 
Ennie

JF-Expert Member
Jan 15, 2011
7,136
2,000
Kila mtu ana jinsi yake ya kuonyesha upendo bwana,lazima ana mazuri yake yaliyokuvutia mpaka ukamuoa.
Tatizo lako ukisikia/kusoma MMU kuna wanaokandwa mabega unataka nawe ukakandwe,kuna wanaopokewa hata gazeti tu na kusubiriwa mezani unataka nawe ufanyiwe! Hebu acha mapenzi ya kuigiza!!!
Mpende jinsi alivyo na kama unataka ajiongeze kuna njia za kumbadili taratibu asi note kama unam badili sio unamsomea Module yenye page 50 halafu unataka kesho aanze utekelezaji! Utasubiri sana!!!!
Wewe ndio ubadilike na kuacha upendo wa masharti!
 
Ennie

JF-Expert Member
Jan 15, 2011
7,136
2,000
Khaaa!
You cant fight against nature!
Inakupasa utambue kuna Makundi mawili ya watu!
1 Flexible!
2 Rigid/unchangeble!
...
Ukipata nö 2 hapo kazi unayo! You ought to know that akibehave hivyo haina maana kwamba yeye ni mjeuri au haelewi!
In nature iko hivyo, tena uache kumlazimisha lazimisha! For sure unamboa, tena ustegemee kupata mtu atakae kufanyia yote uyatakayo!
Mi nilijua anaweakness zisizovumiliza kumbe ni hivyo tu!
...
For sure wewe ndie mkosa! If unabisha nijibu hapa!
Kipindi cha upenzi na uchumba ndio kipindi cha kumsouma mwenzio katika angle muhimu ikiwemo ya mabadiliko!
Ivi unadhani kile kipindi (cha uchumba)
ni cha nini?
Au unahisi kile ni kipindi cha kuchokoana tu?

Hizi busara umenunua wapi best?
 
PetCash

JF-Expert Member
Mar 20, 2012
1,993
2,000
While ni kweli kwamba, kutokana na makuzi/malezi yake hiyo ndio tabia aliyofanikiwa kujikusanyia hadi sasa, na kubadili ni ngumu. Still u can do this;
1) Kumbadilisha ufikiri wake kuhusu maisha ya ndoa na mapenzi inabidi kubadili her daily routine.
2) Na kwanini ni mama wa nyumbani these times? Wakati anaweza kuwa partly mama wa nyumbani na partly helping with family businesses? Huko ataona wanawake wenzie wanavyojihangaisha for their husbands na akajifunza kitu.
3) Mchunguze vizuri anavyoishi, karidhika? Has she met her goals in life? Do u make her happy? Kwa sababu kama mtu akifurahi na huku akijua wewe ndio sababu ya furaha yake, Sioni ni kwanini asikufanyie unayotaka na zaidi na zaidi
4) Perharps thats how she loves a person, yani kukupenda wewe ndo vile anavyofanya(Thats how she is)
 
Last edited by a moderator:

badiebey

JF-Expert Member
Nov 29, 2013
5,876
1,500
be hapy on ur own usisubiri mtu mwignine akupe furaha ht kama ni mkeo,usimchoshe,kaa nyumbani cku moja fanya kazi anazofanya alf arudi jion uone km utampa hyo treatment unayotaka..nlishawah kuwa na bf tabia km yako sio siri alinichosha so many tym anategemea mi ndo niwe namfariji tuu,nampa moyo tuu ,anajiona ye ndo anaechoka kuliko mimi wkt na me mhangaikaji,i can do that but sio kila saa jmn na me nina maisha na shida zangu,FURAHA JIPE MWNYW USICHOSHE WATU,LOWER UR EXPECTATIONS,
 
Joel360

JF-Expert Member
Sep 21, 2013
878
1,000
Kila mtu ana jinsi yake ya kuonyesha upendo bwana,lazima ana mazuri yake yaliyokuvutia mpaka ukamuoa.
Tatizo lako ukisikia/kusoma MMU kuna wanaokandwa mabega unataka nawe ukakandwe,kuna wanaopokewa hata gazeti tu na kusubiriwa mezani unataka nawe ufanyiwe! Hebu acha mapenzi ya kuigiza!!!
Mpende jinsi alivyo na kama unataka ajiongeze kuna njia za kumbadili taratibu asi note kama unam badili sio unamsomea Module yenye page 50 halafu unataka kesho aanze utekelezaji! Utasubiri sana!!!!
sure
 
data

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
23,724
2,000
wewe lazima ni wa kanda ya ziwa..mnaowafanya wake zenu kama housegirls...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom