1/ Awe na elimu angalau Advance level
2/ Umri usiozidi 25
3/ Awe white mwenye mvuto na anayejikubali
4/ /Awe na umbo la kawaida asiwe mnene wala mwembamba
6/ Awe na nidhamu na heshima kwa kila...
Kama we mwanamke umekuwa na mwanaume ambaye hamjawahi kusex hata mara moja lakini ndio mnaanza uhusiano then katika ch@tting za hapa na pale mwanaume akakuuliza haya maswali mawili ujue mbovu wa...
Wanandoa kulala wakiwa wamevaa night dress kuna uzuri au ubaya gani? Naomba tujadili kwa mitizamo ya aina tatu:-
1. Maadili ya ndoa zetu kama waafrika
2. Kudumisha mahusiano katika ndoa
3...
Natafuta mchumba wa kumuoa,narudia tena natafuta mchumba wa kumuoa kama tukikubaliana,umri usiozidi miaka 22,asiwe mnene na mwembamba sana,kama haupo serious usijaribu kuni Pm,mimi ni mtumishi wa...
Wanawake pamoja na kua ni mama zetu,dada zetu na watoto wetu na sifa nyingine nyingi ila kuna moja inayowafanya wa pekee zaidi kuliko sisi wanaume.
Wanaume tuna ubinafsi wa kila mwanaume kujiona...
Hi Jf, i am Tanzanian Man Aged 32, a degree holder looking for a woman who will marry me next year. So the one who will meet my favourable demand, aged 20-28, atleast bachelor degree, who don't av...
Jana usiku hapa mabibo hostels, zilipgwa yowe za mwiziii,yowe hzo zlitokea block A, ambalo kwa kawaida ni block linalokaliwa na wasichana, basi sis wanafunzi tulivosikia hzo kelele tukatoka fasta...
Mwaka 2006 nilianza masomo yangu ya diploma pale Marangu TTC.Tukawa tunaendaga stationery moja pale Marangu Mtoni katika shughuli za kiakademic.
Na kipindi hiki nlikua na miaka21 na nilikua...
Helow wakuu,
Mimi ni mwanaume ninaejitegemea natafuta mwanamke kwa ajili ya kufarijiana tu yaan ambaye nikimuhitaji wakati wowote isipokua wa kazini awe tayari awe ana uwezo wa kujitegemea...
Habari wana Jf
Nina rafiki yangu amesalitiwa Mara tano na mpenzi wako tangu 2013 cha ajabu mwanamke anayemsaliti nae kila siku ni huyo huyo.
Je, ana mapenzi ya kweli kwa best yangu na je huyo...
Ndugu wa mtandao huu,
Msichana wangu ambaye tulipendana kwa muda kiasi ilifika wakati tukaachana ingawa kabla tulikuwa na malengo marefu kuowana. Baada ya siku kadhaa alianza college tokea...
Jamani hii sheria iliyoanza kutumika leo kwa kweli imenikosa kosa kidogo sana......story iko hivi......jana nilichepuka kwa mchepuko wangi ambao ni njia kuu ya jamaa flani, sasa baada ya kumaliza...
Kama ushawai kugombana na girlfriend wako alafu akawa mkali sana wakati una muhoji kuhusu kitengo alichokifanya basi 95% ata kuwa ana kudanganya anakuwa mkali ili kugeuza uongo wake kuwa kweli.
Eti katika vitu mwanamke anapenda katika mahusiano ni ile hali ya kutoku agree kwa maswala mengi mengi hasa yale ya siasa, michezo na burudani.
Watafiti wa mahusiano wanafika mbali na kudai kuwa...
Mambo wana Jf?
Nahisi mko poa na polen na machofu ya majukum ndio maisha ilimrad tu yaende.
Karibuni tujadili hapa Mm ni kijana wa kawaida tu kuna msichana wa hapa hapa mtaani yeye hupenda sana...
Habarini wadau,
Ni wiki sasa tangu nifanye mapenzi na mdada fulani hivi amaye aliijituma vilivyo kunako ground na kujikuta wote majeruhi baada ya gemu kuisha.
Sasa ajabu ni kwamba uume wangu...
Habari wana MMU?
Kwa mujibu wa watalaam wa masuala ya ndoa na mapenzi inaelezwa kwamba wapenzi wanaoachana huwa hawana sababu za msingi, hii inatokana na ukweli kwamba wanaoachana hawafahamu...
Alitembea na mpenzi wake wa zamani kama kuagana baada ya muda akiwa kashaolewa anagundua ni mjamzito kufanya utafiti anagundua mimba ni ya mpenzi wake wa zamani.
Sasa anaomba ushauri amwambie au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.