Wasalaam
wana Jf......
Sijui kama hili ni tatizo ama ni hali ambayo inanitokea kutokana na mengi mabaya niliopitia katika mahusiano yangu.
Ni kweli mimi ni mwanaume lijali...
Kheri ya Noeli kwa wana familia wa jamiiforums. Tuombeane kheri ili panapo Majaliwa ya Mwenyezi Mungu tuone mwaka ujao.
Kama wahenga walivyosema, "ukubwa dawa". Kuna ndugu na rafiki yangu kaja...
Kuna mgogoro wa kimaslahi kati yangu na mke juu ya mwelekeo wa kiimani wa watoto wetu, hii ni kutokana na sisi wazazi kuwa na dini tofauti
Wakati mwingine watoto hawa huudhuria ibada kwenye dini...
A lady 27 yrs of age,beautiful,God fearing,educated,employed,n classy,but still single with no hope of getting her Mr right..Deep down inside my heart i see myself a wife material n i envy any man...
Mwanaume akimtongoza demu, pia huwa haonyeshi kuwa amekufa kiviile akiamini kuwa, demu atamsumbua.
Hali kadhalika demu aliyetongozwa nae huwa haonyeshi amemshobokea jamaa kwani anaamini...
Habari zenu kaka, dada, mama na baba zangu.
Jana nilitoka out na msichana wangu (nategemea kumfanya mke) nikampeleka mahali Fulani penye hadhi kidogo kwa chakula cha jioni, basi katika story za...
Nina mchumba nilimpata humu humu jf ila nahitaji marafiki wa kike kwa ajiri ya kushauriana...kuelekezana kimaisha n.k
Wenye elimu kuanzia STD VII na kuendelea hasa ndio hitaji langu.
Ni pm...
Hii ni habari mbaya kwa wale wenzangu na mie msiotaka kufunga ndoa hadi utie mimba kwanza kwa kuogopa kuuziwa mbuzi kwenye gunia... Muongozo huo ulitolewa na kanisa moja mjini mbeya (jina kapuni)...
Kutokana na sababu kadha kwa kadha unaweza kujikuta upo ndani ya uhusiano ambao hauna future yeyote,yaani unakuwa na mwanamke kwaajiri ya kupasha ring tu...
Sasa hapa nilichokiona kwa.muda sasa...
ANGALIZO LA LEO
Mkeo akisema atatoka na Watoto tu kwenda beach. using'ang'anize kuungana nae, huenda watoto wanaenda kuonana na Baba yao.
Si mnajua tena mambo ya 49% ya dna
Nimeona mada nyingi humu zinazingumzia masuala ya kulea watoto wasio wao na kusingiziwa watoto, mara nyingi mwanamke humsingizia mtoto mwanaume yule mwenye malengo nae au mwenye uwezo wa kulea...
Mimi ni mwanamke, nina mtoto mmoja i am 32, nilitengana na mume kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu nimeamua kutumia jf kutafuta mwenza maana walio mtaani ndo hawa hawa walio JF aliye tayari...
Wana JF,
Kuna kitu huwa kinanichanganya hasa kuhusu kuoa au kuolewa yaani ndoa.Si mara moja wala mbili nimekuwa nakatishwa tamaa na kujihoji je huwa upo ukomo wa mapenzi ?
Kuna mashauri...
Emmanuel MichaelkmNapenda nitoe maneno yafuatayoMtu mwenye sifa zifuatazo anafaa kuwa mke wangu au mkeo au mmeo
1.Awe mwenye heshima
2.Anaye mjua mungu japo mara moja kwa wiki
3.Asiwe mwepesi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.