Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

SEMA UKWELI MARA ZOTE, UTAPENDWA Maneno ya ukweli hayabembelezi... Na maneno yanayobembeleza sio ya kweli... Hivyo ni wajibu kwako kuchagua, unataka kutoa maneno ya kubembeleza au unataka kutoa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Show huezi, haya basi toa hela napo mbahili, bora basi ungekua handsome napo hamna kitu.. khe!! Usaidiwaje sasa😕
1 Reactions
126 Replies
16K Views
habar wadau kuna rafk angu tunaishi nae nyumba moja yaan tumepang kwenye nyumba yenye vyumba vwl na seble .sasa rafk angu almtongoza bint mmoja lkn akatolewa nje ila yule binti alionekana kunpenda...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mie nachukia na hii kauli ya "k" badala ya "ok" hivi ni dharau au nn
7 Reactions
117 Replies
12K Views
Habari wana jf, heri ya cikuku. Ndugu zangu naandika Uzi huu siyo kwa kujifurahisha bali ni kutoka moyoni, Mimi ni kijana wa kiume naishi Dar, Kikazi Nimeajiriwa na taasisi Ndogo ya fetha hapa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wasalaam wanajf Mchumba wangu kipenzi ananishangaza sijajua hata nimueleweje! Iko hivi mchumba wangu anarafiki yake ambaye yeye na rafiki yake niliwafahamu wote wakiwa pamoja wakati tukifanya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wasalaam wanajf Mchumba wangu kipenzi ananishangaza sijajua hata nimueleweje! Iko hivi mchumba wangu anarafiki yake ambaye yeye na rafiki yake niliwafahamu wote wakiwa pamoja wakati tukifanya...
0 Reactions
0 Replies
979 Views
Habari wana jf, Natanguliza shukulani zangu kwa wana jf wote, Mimi ni kijana wa kiume nimeajiriwa na taasisi moja ya fedha hapa Dar, Nipo serious nahitaji mke wa kuoa mwenye sifa zifuatazo, age...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
kuna maeneo hua nafanyia kz, akaja rafiki yangu nimesoma nae primary kuna ujenz alikua anafanya, nikawa napga nae stori maana nilitoka ofcn iv, akaja mdada pale jirani akawa ana kikaratas akampa...
0 Reactions
51 Replies
7K Views
Baada ya mkemia kutoa takwimu ile kuna watu wengi watataka kwenda kupima ili kujua kama watoto ni wao. Naomba serikali iwe makini hapa wakiruhusu kila mtu kupima itapelekea watoto wengi wa...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Kila ninaempenda kwangu anawahi kuchuja na anapoteza thamani ndani ya mda mfupi... Wanajukwaa naomba ushauli wenu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habarini Wakuu, Kuna siku nilikuwa duka flan hivi na pembeni mwa dirisha la duka hiyo kulikuwa na ubishani mkubwa pamoja na matambo kutoka kwa wachagga wawili wakijisifia kuwa wao wanajua sana...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
nawatakia sikuu njema yenye fanaka na baraka tele wana mmu wote mungu awatangulie
1 Reactions
1 Replies
849 Views
Heshima kwenu wote, Kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka kumekuwa na tabia za baadhi ya watu kukwepa majukumu yao kwa makusudi hasa waliokuwa kwenye mahusiano ya mapenzi iwe ni mke au girlfriend...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Habari ndugu wana JF! Neno "maniac" limenipa wakati mgumu sana kulipa tafsiri kama lugha ya Kiingereza inavyolitendea haki. Ni baada ya takwimu za jana toka ofisi ya mkemia mkuu wa serikali...
0 Reactions
48 Replies
8K Views
Habarini wakuu nimekuwa nikichunguza mahusiano ya kirafiki au wapenzi imenishangaza sana kwa nini wadada wengi huwa wanakuwa wazito sana kutuma SMS au kupigia simu wenzi wao au Rafiki zao ,mara...
0 Reactions
36 Replies
6K Views
Salaam, Nimekaa nikatafakari kwa kina na uzoefu nilionao wa miaka thelathin kwenye eneo la mahusiano nikagundua yafuatayo ndo sababu kuu za wadada kuachika au kutoolewa: kujifanya matawi sana...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
jaribu kumfkiria mtu kitu ambae hua anakufanya utabasam. unajsikiaje vizur eeee? kama unae mtu anaekufanya utabasam huna hja ya kua stressed coz you are so blessed
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Life can get out of control pretty quickly without a reason, yes...without an excuse. How are you prepared? what's your Plan B when the world turns against you by suddenly losing everything you...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Back
Top Bottom