tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,128
Kutokana na sababu kadha kwa kadha unaweza kujikuta upo ndani ya uhusiano ambao hauna future yeyote,yaani unakuwa na mwanamke kwaajiri ya kupasha ring tu...
Sasa hapa nilichokiona kwa.muda sasa ni wanawake huwa wanakuwa na mawenge mengi wakiwa ndani ya uhusiano kama huu!! Maneno huwa ni mengi kama "We hutanioa, utanichezea tu utajiacha..." sasa mtu kama anajua kabisa atachezewa ataachwa why aingie katika uhusiano na kuruhusu kuvua kyupi!!? Wengine utasikia kweli unanipenda..sasa kama mtu unakuwa na doubts zote hizo unachofanya ni kucheza kamari au??
NB; Katika mahusiano yangu, wanawake wote waliosema nitawaacha na kuuliza kama kweli nimependa...mwisho wa siku niliwaacha kwel!