Inasemekana kuwa penye mapenzi ya dhati wanandoa lazima tu watafanana; je, ni kweli?

Hakuna ukweli wowote. Ila kwakuwa wanopendana mara nyingi huwa wanaongozana sehemu nyingi then watu hozooea kuwaona pamoja kwahiyo inajengeka picha ya pamoja vichwani mwa watu kwahiyo kila wanapoonekana watu wanaona picha ya ufanano huo.
 
Sio kweli. Mbona my Daddy na my momy hawafanani na wanapendena kupindukia. Mungu anisaidie nije kurithi hiyo love style yao. God bless ma parents
 
Back
Top Bottom