angalizo kwa wake zenu sikukuu hiz

Haha mbona wengine tunawaaga wenza wetu tunaenda bar kupata mbili Tatu na washkaji kumbe tumeshaipanga michepuko tuonane nayo...
 
Kuna mzee moja jirani yangu.. asubuhi ya leo nimempa lifti kufika shekilango akasema smahani naomba unsimame kuna watu nawachukua... kusimama akainga mdada na watoto wawili akanitambulisha kama mke wake na wale watoto zake... wakati mke wake na watoto watatu kawacha nyumbani. Sikutia neno nikasalimia kama sijui kinachoendelea.
 
Back
Top Bottom