Hapa kazi Tu hadi kwenye kufunga ndoa....

MasterP.

JF-Expert Member
Jun 5, 2013
8,061
6,395
Hii ni habari mbaya kwa wale wenzangu na mie msiotaka kufunga ndoa hadi utie mimba kwanza kwa kuogopa kuuziwa mbuzi kwenye gunia... Muongozo huo ulitolewa na kanisa moja mjini mbeya (jina kapuni) hivi karibuni...
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    269.8 KB · Views: 1,417
Aiseeeee hapo kwenye kutoa mimbaaa wengi watafukuzwa hapo kanisaniiii, inamaana hilo kanisa kondooo akipotea hawamrudishiii????
 
makanisa yana mambo lengo alikua baya ila linataka marekebisho Mungu mwenyewe anasamehe iweje nao wasisamehe Mengine yalikuwapo enzi za Musa ila baadae yaliwekwa sawa
bora wawaacha wazae kwanza waungame na wafungishwe ndoa baadae
wachungaji wenyewe siyo ajabu walizaa kabla ya ndoa a ndio wakwanza kuwanyooshea vidole wenzao
ni sawa na mafarisayo wasipo lilekebisha
 
Hapo kwenye kutoa mimba wajiandaa kufukuza mabinti wote kanisan
 
Kanisa na neno la MUNGU lipo kwa ajili ya wenye dhambi,lazima watu wahubiliwe ili wabadilishe tabia za dhambi na kutenda mema kwa mujibu wa imani zao,kanisa likiwakataa hvyo watenda dhambi hapo watakua wameenda nje ya biblia,hata Kristo YESU alikuja kwa wenye dhambi wapate kuokolewa why kanisa liwafukuzilie mbali?kama kweli bango hlo ni la kanisa fulani basi hapo hakuna watumishi wa kweli wenye kujua kanisa lipo kwa ajili ya nani
 
Kama wakiwa serious na hili basi Kanisa litarudisha heshima yake ILA TATIZO ni Rushwa bana...yaani hapo wakienda wazazi wenye pesa wakitoa chochote kitu ili mwanao aolewe basi hata kama ana mimba ya miezi 8 ataolewa tu na kanisa litampongeza.

Rushwa mbaya sana.
 
Back
Top Bottom