njugilo
Member
- Feb 8, 2010
- 58
- 27
Wana JF,
Kuna kitu huwa kinanichanganya hasa kuhusu kuoa au kuolewa yaani ndoa.Si mara moja wala mbili nimekuwa nakatishwa tamaa na kujihoji je huwa upo ukomo wa mapenzi ?
Kuna mashauri nimeyafanya na wanafamilia zaidi ya sita na kero kubwa ni kwamba upendo umepungua baina ya wana ndoa na hii hujidhihirisha hasa wanapokuwa na watoto .
Mara nyingi mapenzi ya mwanamke yanahamia kwa watoto zaidi kuliko kwa mwenzi wake.
Sasa naomba tusaidiane kuijadili hili je unaoa au kuolewa ili kupata au kushiriki tendo la ndoa kwa uhalali au mtu anaoa au kuolewa ili kupata watoto ? Je mtu anatoa mahali ili kupata watoto au kupata mapenzi ?
Nawakilisha