A lady 27 yrs of age,beautiful,God fearing,educated,employed,n classy,but still single with no hope of getting her Mr right..Deep down inside my heart i see myself a wife material n i envy any man who will be with me..Nia sio kujipa promo wala kujitafutia janaume ila ni kuonyesha tu jinsi gan mtu unaeza kuwa the best lkn ukaambulia patupu.Inavoonekana wanawake wengi micharuko n exactly the opposite of wife material wamekuwa wakibahatika kuwa na life la Maana.Unakuta demu mcharuko,gold digger hana mapenzi ya dhati ila mwisho wa.siku.anakuwa na mwanaume kila mtu anajiuliza how comes kaolewa..ila ss hawa wengne wife materials ni full kustruggle living on their own means, having a moderate life ila mwisho wa siku wengi wao nasema wengi wao sio wote huishia kwenye ndoa zisizo bora sana na maisha yao huishia kuwa magumu tu. I have seen this happening to husband materials too..My conclution naona bora tu mtu uwe mcharuko ishi maisha yako achana na kujitaidi kuwa ms or mr perfect ili lolote litakalotokea mtu usiwe na chochote cha kuregreat, na hata ukipata ndoa bora alhamdullilah usipopata kukawa na vurugu mechi pia inshallah tuendelee kukomeshana huko ndoani maisha yaendelee..kweli wife material sucks!!!kuna mwenye wazo la tofauti???