Mambo ya fuatayo yatakusaidia.

EMKM

Member
Jul 6, 2015
80
8
Emmanuel MichaelkmNapenda nitoe maneno yafuatayoMtu mwenye sifa zifuatazo anafaa kuwa mke wangu au mkeo au mmeo
1.Awe mwenye heshima
2.Anaye mjua mungu japo mara moja kwa wiki
3.Asiwe mwepesi wa kulaumu bila sababu za msingi
4.Mwenye kusamehe
5.Mchapa kazi
6.Mwenye mapenzi ya kweli.
7.Mtiifu
8.Msikivu
9.Anaye kubali ushauri
10.mtulivu

TOA MAONI YAKO
Pia naomba unipige tafu kwa kubonyeza hapo chini
TWENDE KAZI
Niambie kama nimekose maana hakuna mwana wa adamu ambaye yuko kamili asilimia zote waweza nipa maoni yako hapo chini ama kwa kubonyeza hapo juu
 
Huruma ata kwa rafiki majirani.atakufaa.maana kuna wale waitwaga mama huruma.nawapendaga sana.
 
Namba mbili hapo? Kumjua mungu mara moja? Unamanisha ile kumjua mungu kwa kwenda kusali ijumaa/jpli?

Mkuu fanya marekebisho hapo.
 
Mkuu unapoteza Mda wako tu,Hakuna Mwanamke Mwenye Hizo sifa zote Hapo Juu
,Mathalani sifa ya 5 na ya 10 Zinapingana.Huwezi kuwa Mchapa-kazi na wakati Huo huo Ukawa Mtulivu.

Atakayejitahidi sana,anaweza kuwa na sifa 5 tu kati ya Hizo_Otherwise tafuta Majini
 
kwani inashindikana kufanyakazi na kuwa mtulivu kwa mkeo au kutokuwa na michepuko?
 
Mkuu unapoteza Mda wako tu,Hakuna Mwanamke Mwenye Hizo sifa zote Hapo Juu
,Mathalani sifa ya 5 na ya 10 Zinapingana.Huwezi kuwa Mchapa-kazi na wakati Huo huo Ukawa Mtulivu.

Atakayejitahidi sana,anaweza kuwa na sifa 5 tu kati ya Hizo_Otherwise tafuta Majini

Mkuu mchapakazi na mtulivu mbona ni vitu viwili ambvyo huweza kukaa pamoja kwa mtu mmoja pasipo kila moja kuathiri jingine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom