Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

nipo dar naitaji kampani yakutoka Leo aliye jirani ani pm
0 Reactions
0 Replies
843 Views
EVERY WOMAN SHOULD READY 1) Usimpandishie mumeo sauti kwa namna yoyote ile ni ishara ya kukosa hekima. Tafuta mbinu mbadala ya kumueleza alipokosea. 2) Usitoe madhaifu ya mumeo kwenye familia...
2 Reactions
28 Replies
8K Views
KANUNI YA KUWA NA FURAHA Dhumuni letu kubwa kwenye maisha ni furaha. Tunafanya kile tunachofanya kwa sababu tunajua kitatuwezesha kuwa na furaha zaidi. Hakuna mtu anayefanya kitu huku akijua ya...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Yaani imekua kero ,mke wake ana mtoto mdogo wa mwaka mmoja na mwezi 1,huyu jamaa hajiamini kabisa tunakaa nae nyumba moja , ananichunguza kuanzia vidole hadi nywele ,To be honest me sijaonja...
1 Reactions
42 Replies
6K Views
Habari za sikukuu wanajamvi, Natumaini kumeisha salama,mwenzenu hapa sina lakufanya imebidi niombe msaada,nimewahi kukaa na housegirl kama miaka kumi hivi kiasi kwamba nilimuona ni mdogo wangu...
0 Reactions
28 Replies
7K Views
Nina mchumba ambaye tunaishi mikoa tofauti tarehe 23 mwezi wa nne alikuja kunitembelea mkoa ninaoishi akakaa kama wiki baada ya muda kama wa wiki 3 akaniambia hajaona siku zake nikamwambia nenda...
0 Reactions
94 Replies
11K Views
Habarini za wekend wadau, Naombeni mnisaidie kimawazo.umri wang ni miaka 24 ni muajiriwa serikalin huku Dodoma, wilaya ya Mpwapwa,lakini home ni Iringa nina girlfriend wangu ambaye yupo chuo cha...
0 Reactions
146 Replies
12K Views
watu wengi usema kijana akiwa mkubwa si vizuri kuendelea kuishi nyumban ila mimi niko tofauti kidogo japo si pingi. kuna mazingira yanaweza kumfanya kijana aendelee kuishi nyumban ata kama ni...
1 Reactions
52 Replies
13K Views
Ni zaidi ya miaka 12 sasa tangu aliponiambia kuwa huyu si mwanao, nilikusingizia tu. Lakini kiukweli kila mmoja aliyemuona yule mtoto (wa kiume) hata bila ya mimi kuwepo, mradi ananijua, alisema...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Wasalaam wanajf Mchumba wangu kipenzi ananishangaza sijajua hata nimueleweje! Iko hivi mchumba wangu anarafiki yake ambaye yeye na rafiki yake niliwafahamu wote wakiwa pamoja wakati tukifanya...
0 Reactions
32 Replies
6K Views
Wana MMU,habari zenu ni kuwa kuna msichana nilikutana nae siku ya ufunguzi wa baraza la madiwani ktk halmashauri fulani,huyu binti alitokea kunivutia sana hivyo nikawa namlia mingo.Tulikuwa...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Kwa kawaida, mtu anaporukwa na akili, anaweza kuitwa Zuzu. Anaweza kuitwa Punguani. Katika hali ambayo nipo nayo sasa, una haki ya kuniita mo ya majina hayo, kwa wasamariwema wenye huruma, labda...
10 Reactions
59 Replies
11K Views
Wadau, Hopefully mmesheherekea vizuri sikukuu hii ya leo. Back to our topic mimi kuna mdada namfukuzia, naona kama anaelekea kuingia king na infact nataka niweke ndani kabisa. Hapa juzi-kati...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Kwa yeyote anaye mjua naomba ani PM ! Tulisoma wote miaka ya 1991 _ 94, Lugalo(jwtz) sec. School kwa sasa inaitwa makongo sec. School Miaka hiyo alikuwa anaishi na baba ake mdogo mzee kimambo...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
PayForYouth.com - Earn from Your Home, Earning website for Students, Job-less people
0 Reactions
2 Replies
1K Views
ni msichana mrembo sana kamehitimu degree juzi juz tu nilimfuatilia mda mrefu sana ila hataki kukubaliana nami now anatoka na jamaa mmoja hiv mwenye tabia ya kutambulisha wanawake kwa ndugu...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Ma ladies na ma gentlemen..... Kama nilivosema hapo juu hiki nikisimuliacho nimekosa jina au neno la kuweka kama kichwa cha habari au uzi. Iko hivii...... Week end hii iliyoisha nilienda Mbeya...
0 Reactions
32 Replies
7K Views
Hawayuuuni!! Mimi ni kijana under 25,nina mpenzi nilianza nae uhusiano soon after six b4 joining university. Nilimpenda sana na nafikiria kuwa awe yf wngu,ktk mapenzi yy alikuwa mgeni kwani mm...
0 Reactions
62 Replies
9K Views
Rejea tu kichwa cha habari hapo juu na karibu katika kuchangia.
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Back
Top Bottom