my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,397
Mwanaume wa Tanzania akitongoza akijbiwa maneno machafu nae anatoa maneno machafu.
Mwanaume wa kizungu akijbiwa maneno machafu ananyamaza anazidsha upendo mpaka unaona aibu kwanini ulikuwa unamjibu vibaya mwishoni mnajikuta mmefall in love. Kwanini inakua hivi?